Hizi timu za England,France,Ireland,Wales,Scotland na Australia wanawatumia maforwards wao kupunguza kasi ya mchezo na kuwanyima backline ya upinzani mpira.Timu za SA,Argentina,Italy,NZ na visiwa wenyewe wanawatumia backline kukimbiza mpira(open free play) ambayo inafurahisha watazamaji.hilo game la Argentina na England hata mie nasubiria kwa hama...
na sintashangaa kama England wakitolewa na Argentina...
Ukiwa mpenzi wa Rugby lazima utapenda uchezaji wa the Allblacks kwanza kunaile burudani kabla ya mechi ya ngoma ya kishujaa halafu mchezo wao unahusisha sana mbio na chenga za mwili.Pia wamefaidika sana kwa kuwachukua wachezaji wa visiwa vya karibu na kuwapa uraia ili wawatumie(Samoa,Tonga,Fiji etc).
Hizi timu za England,France,Ireland,Wales,Scotland na Australia wanawatumia maforwards wao kupunguza kasi ya mchezo na kuwanyima backline ya upinzani mpira.Timu za SA,Argentina,Italy,NZ na visiwa wenyewe wanawatumia backline kukimbiza mpira(open free play) ambayo inafurahisha watazamaji.