Ruge alikuwa na nguvu na nafasi kubwa BASATA

Ruge alikuwa na nguvu na nafasi kubwa BASATA

ZamdaIssa

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2015
Posts
879
Reaction score
1,458
Wadau kwanza naomba tumuombee marehemu Rugemalila dua ili mungu amuweke panapostahili kulingana na amali zake!!Kifo ni tabia ya kimaumbile ambapo mimi na wewe wote tutakufa!Lazima..
.
Huko nyuma marehemu Ruge aliwahi kutupiwa lawama na msanii Nguli asiyechuja wakati wote Diamond Kuwa yeye Ruge ndiyo alishawishi mpaka ngoma zake kama Halleluya na nyingine kufungiwa bila sababu za msingi na baada ya Diamond kumtupia lawama sana Ruge basi ngoma hizo zilifunguliwa huku Ruge akikanusha kwamba yeye hana Connection wala ushawishi wowote ule Basata..
.
Leo tumeshuhudia Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza Ametoa salam za Rambirambi kwa msiba wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba na kujikuta akishindwa kumaliza kueleza mchango wa Ruge katika sanaa nchini.
“Ruge amesaidia sana uendeshaji wa program mbalimbali za BASATA kwa kufadhili kutoa Mada zilizokuwa zikiwaelimisha wasanii kutumia mitandao ya kijamii kujiingizia kipato”
#jasirimuongozanjia
.
Kwamba Ruge alikua anawafadhili na kutoa ushauri na ushawishi wa nini kifanyike na kwanani juu ya wasanii!!
.

Nazidi kuelewa kwanini Diamond na wasanii wengine hawajaenda msibani,nazidi kuelewa kwanini MH Sugu amemtaja marehemu kama Mtu hatari zaidi katika kitabu chake!!
.
R.I.P Ruge,Jasiri muongoza njia
 

Attachments

BASATA inajihusisha na wasanii. What if huo "ufadhili na ushauri" unamaanishwa ulitolewa kwa wasanii mmoja mmoja na au as a group, ambapo mafanikio yao ndio mafanikio ya Baraza pia?
 
Back
Top Bottom