mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Aisee mdau huyu muhimu wa bongo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedari huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzio wanakua vizuri. Vaa viatu vya Ruge ujione wewe ukifikisha miaka hiyo utakuwa unaonekanaje mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache unafki jamani. Mchawi mpe sifa yake, sio unaanza visingizio eti ooh unajua anatumia dawa ndio maana anapaa, oohh sijui nini, wewe dawa huzioni? Na wewe paa tuoneJamaa kumbe ni mzee mawazo yangu nafikiria jamaa yupo 37, bado jamaa ana miaka 49 na ni single
Aisee mdaubhuyu muhimu wa Bingo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedali huyu
Ila anazipiga saaana,watoto wadogo wadogo wa kuwazaaJamaa kumbe ni mzee mawazo yangu nafikiria jamaa yupo 37, bado jamaa ana miaka 49 na ni single
mbona umepunguza miaka kile ni kibabu km lemutuz.Aisee mdaubhuyu muhimu wa Bingo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedali huyu
Hah hah hah hah, watu mna maneno duuuuuuh!Tezi dume inamuhusu huyu.
ruge ana 44 weweAisee mdaubhuyu muhimu wa Bingo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedali huyu
Ulitaka akusugue gaga!!!Ruge kumbe muhenga hivi.hata simtaki tena
Ana 76yrs weweruge ana 44 wewe
Senior bachelaJamaa kumbe ni mzee mawazo yangu nafikiria jamaa yupo 37, bado jamaa ana miaka 49 na ni single