Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

jamaa sio kwa kuchapia huko "" kumbe huyo ruge Tayari nimzee"" kiasi hicho duuhh"" na hapo usikute kafnya Editting ya miaka Yke "" waweza kukuta ana 53
 
Jamaa kumbe ni mzee mawazo yangu nafikiria jamaa yupo 37, bado jamaa ana miaka 49 na ni single
Wenzio wanakua vizuri. Vaa viatu vya Ruge ujione wewe ukifikisha miaka hiyo utakuwa unaonekanaje mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache unafki jamani. Mchawi mpe sifa yake, sio unaanza visingizio eti ooh unajua anatumia dawa ndio maana anapaa, oohh sijui nini, wewe dawa huzioni? Na wewe paa tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…