Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

atasubiri afike 70 aoe kabinti ka miaka 20 kamuue kwa heart attack.
Wanasema wanawake tuolewe na wanaume watu wazima ili tukianza kuzeeka na wao wanakua wanapoteza uoni hawataweza kuona tukizeeka
 
Huyu sio muoaji kwa kweli.halafu wanaume wa miaka arobaini ni wagumu sana kwenye mahusiano.hawa wahenga wenzetu bna loh ukiwa nao hawaeleweki.
Sema wanakuaga na stress za ndoa sana. Wanaanza kufikiria uzee unakuja wakianza kupata magonjwa ya kizee nani atawalea. Hapo hapo wanafurahia wanakula mboga wanavyotaka
 
Aisee 50 inamuita kumbe ni mhenga heri ya kuzaliwa zee la mafursa
 
Ila wabinafsi sana.aaah
Wabinafsi kweli. Kuna mbaba ana kama 60yrs anakaa mitaa ya kwenu kama Rainbow kwa chini. Yule baba kilio chake kikubwa ni ndoa. Ana maisha akitaka mwanamke yeyote anampata ila haoni aoe nani. Anaishia kuwatia anaacha ila akikaa ni ndoa ndoa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…