laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
le baharia ana 60 yrsInamaana Ruge ni mkubwa kuliko Le Baharia?
😀😀😀Nikijua tofauti kati ya ' Jemedali ' na ' Jemedari ' nitashukuru sana.
le baharia ana 60 yrs
anakurusha maji nn? wahaya hoyeeMimi bado na wala simtaki maana nasikia ukimuonja huachiii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dahhhhWenzio wanakua vizuri. Vaa viatu vya Ruge ujione wewe ukifikisha miaka hiyo utakuwa unaonekanaje mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuache unafki jamani. Mchawi mpe sifa yake, sio unaanza visingizio eti ooh unajua anatumia dawa ndio maana anapaa, oohh sijui nini, wewe dawa huzioni? Na wewe paa tuone
Kwa hiyo amegoma kuingia miaka hamsini!?Ruge kila mwaka anatimiza 49 yrs yaani huu usanii mwambien aache huu ni mwaka wa 4 anasherekea kutimiza miaka 49 yrs yaan Ruge kila mwaka anatimizaga miaka 49 yrs.
Le baharia havukagi 60,wema sepetu amegomea miaka 28 mwaka wa sita huule baharia ana 60 yrs
Ww njoo kwa wazee wenzako akina sie tukupe penzi la kizee,Ni umafia.kuna dogo alisoma na mdogo wangu namzidi miaka minne .anataka ndoa balaa.naanzaje? Nikamwambia hapana .ndoa inaenda hivi hvi naiona Ila sio mbaya nitakufa na tai shingoni
Mi watoto ninao wajuaa mpkaa sasa ni sitaHivi ndo yule analelewa watoto 2 na mume mwenzie? Mshaurini.
Wema anatimiza 30 this coming octoberLe baharia havukagi 60,wema sepetu amegomea miaka 28 mwaka wa sita huu
Yule ni ccm mwenzio, sio vizuri kusemana hadharani.Rugemalila Mutahaba ndio Nyerere wa Tasnia ya Music Na burudani ya kizazi kipya
Huyu ndio anafaa kujiita Akili kubwaaaz Sio Yule kibushuti team Makaptula
JF is where we dare to talk openlyYule ni ccm mwenzio, sio vizuri kusemana hadharani.
Le baharia ana umri mrefu kuliko Tanzania wewe.Inamaana Ruge ni mkubwa kuliko Le Baharia?
Una miaka mingapi?Ww njoo kwa wazee wenzako akina sie tukupe penzi la kizee,
lkn sio unakuja kwangu nakuoa nakuhudumia kama malkia alafu unarudi kwa
vijana ukiwa ndani kwangu maana kichwa chako nitatengenezea supu
Wahaya kwA nyapu acha tu ,,huwez ridhika na mwanamke mmoja.Jamaa kumbe ni mzee mawazo yangu nafikiria jamaa yupo 37, bado jamaa ana miaka 49 na ni single
Ni Expert mkuu wengine ni 20 tunafikiria kuoa na hali ngumu hv.Senior bachela
Tukitumia the law of large numbers nina forty flani hivi.Una miaka mingapi?