Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Jide akaze buti...akubaliane na ukweli kuwa skylyt band imefikishia nyumbani lounge kushuka....mmnh ??kifupi wanasema a accept..amefulia

Ndio ukweli.
Jide sasa hivi anawatumbuiza wahudumu tu...
Washabiki woote Wako sky light
 
Akasema pia kwamba leo hii tunavyoongea,Diamond yuko UK. Kuna lebo anaingianayo mkataba,yote hayo ni kuangalia fursa ulizonazo na kuzitumia kwa wakati. Akaweka angalizo la Mr Nice na yule dada wa kuchambua kama karanga walivyokuwa wanajaza show zao viwanjani. Akataja na fursa nyingina ya ringtone,ambapo alimtaja Rose Mhando anachukua Mil 19 hivi kila miezi mitatu,na Diamond robo iliyoisha aliweka kwenye wallet Mil 21. Akataja na wengine.
 
Kuusu lina na barnaba wao wapo kwenye management nyingine na alipokwenda kuulizia ameambiwa kua Jd ameshindwana nao bei na Jd alikubali kushindwa

Then Kibibi kikaja kwenye mitandao na kupakaza kuwa eti Lina na Barnaba wamepigwa stop kuhudhuria show yake.

Teh teh Kibibi kizee cha Musoma kimeshikwa na Sky Light sasa kinalia na watu wengine.
 
i have a gun binti machozi need it check on me #call911 ok kuliko kupoteza muda wakati unajua kabisa mbaya wako ni fulani..
 
Ruge alijibu swali la kwanini hawakuwahi kurespond tweets za Jide. Akataja tweet ya kwanza provocative ilikuwa tar 14/12. Alichofanya yeye alimpigia simu na kumuuliza amweleweshe anachomaanisha na kama inamhusu yeye,Jide akachomoa!
 
i have a gun binti machozi need it check on me #call911 ok kuliko kupoteza muda wakati unajua kabisa mbaya wako ni fulani..
 
Amempa opportunity kuwa yuko tayari wakati wowote,aje na meneja wake na watafute sehemu yoyote atakayoona inafaa,aje na hoja,kisha zijadiliwe ili kulimaliza swala hili!
 
Alisema Jide siyo wa kwanza kutopigwa nyimbo zake. Akataja vituo vyyya. EA na kingine ambavyyyo viliacha kupiga nyimbo za Ray C nadhani na Diamond. Niko tayari kusahihishwa.

kasema wasanii kama Alikiba na Ray C walifungiwa kuchezwa nyimbo zao EATV,Diamond alifungiwa miezi 7 MAGIC FM,etc.

#Hii ni katika kuelezea kwmb kila ofisi ina taratibu zake,kwamba ukikiuka taratibu za ofic kuna namna ya kumdiscipline huyo mtu so ni jambo la kawaida katika sehemu mbalimbali za kazi
 
Rose Muhando Milion 29
 
Then Kibibi kikaja kwenye mitandao na kupakaza kuwa eti Lina na Barnaba wamepigwa stop kuhudhuria show yake.

Teh teh Kibibi kizee cha Musoma kimeshikwa na Sky Light sasa kinalia na watu wengine.

mkuu Gang Chomba mbona unaelekeza personal attacks zake kwa dada jide?tujikite ktk ujibuji wa hoja na kama hakuna hoja ya kujibu ni vyema kulitupa suala hilo kapuni.
 
Last edited by a moderator:

una chuki binafsi sio bure, afu hapo ukute kimaendeleo humfikii jay dee hata robo unaumiaje sasa?LMFAO
 
Ametumia Radio yao kumshambulia Lady JD kumshambulia bila kujibu hoja! these to me is non sense!

Hajamshambulia.
Kajibu kila kilichoachwa wazi na JD...
Weka wewe hoja unazoona hajazijibu then nikupe majibu.

Hicho kibibi kizee cha musoma kisiwapotoshe jama.
Kimeshindwa kuhimili ushindani kati ya Bendi yake na Sky Light.
 
Amempa opportunity kuwa yuko tayari wakati wowote,aje na meneja wake na watafute sehemu yoyote atakayoona inafaa,aje na hoja,kisha zijadiliwe ili kulimaliza swala hili!

Je kuna Busara nyingine zaidi ya hii?
 
Then Kibibi kikaja kwenye mitandao na kupakaza kuwa eti Lina na Barnaba wamepigwa stop kuhudhuria show yake.

Teh teh Kibibi kizee cha Musoma kimeshikwa na Sky Light sasa kinalia na watu wengine.

Toka siku ya kwanza km Unakumbuka nilisema Ugomvi hapa ni Sky light Ila huyu BIBI anaugeuza na Kutaka huruma za watu.
 
Kwani bendi ipo Skylight bend peke yake? Ruge aache kutuaminisha upumbavu, kwa nini sio Top band au nyinginezo? Akubali kuwa hapendi maendeleo ya Jide

futa mimate hiyo...
kwa wanaojuwa sakata hili walishaweka wazi hapa Jamvini na kuitaja Sky Light hata kabla ya Ruge hajaitaja hiyo Bendi.
Sky Light imechukua baadhi ya wanamuziki toka Machozi Band.

kama huna la kuandika kachukue kopo ukachambe.
 
Huwa sikurupuki Nachozungumza huwa nakielewa.
 
ivi kumbe umri wako mdogo sn kiasi kua unaweza kua mjukuu wa jide?
Toka siku ya kwanza km Unakumbuka nilisema Ugomvi hapa ni Sky light Ila huyu BIBI anaugeuza na Kutaka huruma za watu.
 
Toka siku ya kwanza km Unakumbuka nilisema Ugomvi hapa ni Sky light Ila huyu BIBI anaugeuza na Kutaka huruma za watu.

Na Ruge leo kaweka wazi kuwa Ugomvi ni Sky Light.
Ila kuna chavichavi humu eti wanahoji kwa nini Sky Light?
Mbona hajazitaja Top Band au bendi nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…