Naona Ruge analeta propaganda na upuuzi tu,malalamiko ya wasanii ni maslahi kwa industry ya music ambayo ni ajira kwa vijana,aache kujificha kwenye soko huria,clouds ni wanyonyaji tu waliojaza ukiritimba na cartel ya kinyonyaji
Anarudiarudia neno opportunity, anasema wao ni redio namba moja, wana tuzo za kimataifa, clouds inaendeshwa na watu, sehem kubwa ya tatzo inaanzia kwenye pesonal attack
Anasema nchi kama nchi inatakiwa izungumzie matatizo yenye maslai ya taifa na sio individual na ndo mana alikua kimya kipindi chote japo alipata misukimo kwa watu mbali mbali ya kuombwa alizungumzie swala hili.
Saivi anaelezea lengo/ dhumununi la kuanzishwa clouds mpaka wakapata mafanikio ya kukubalika Ktk jamii na kupata tuzo mara3 mfululizo