Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Duh yani mmepoteza muda kufuatilia hamna cha kufanya?
 
Duh yani mmepoteza muda kufuatilia hamna cha kufanya?

Huo ndiyo uthibitisho kwamba Clouds radio inakimbiza hapa mjini.

Na hata kama watu watajifanya kukataa hapa jamvini kimoyomoyo wanaikubali tu.
 
Kweli Clouds inakimbiza!

Labda inakukimbiza wewe mi bado natembea hapa,na EA utasemaje?Uko Ug/Kenya unaipata Ea radio bila kupanda juu ya mti sembuse uyo ukiwa Kibaha tu inaanza kuZingua,sema inanikimbiza siyo inatukimbiza matumiz ya umoja na wing yazingatiwe.
 
Labda inakukimbiza wewe mi bado natembea hapa,na EA utasemaje?Uko Ug/Kenya unaipata Ea radio bila kupanda juu ya mti sembuse uyo ukiwa Kibaha tu inaanza kuZingua,sema inanikimbiza siyo inatukimbiza matumiz ya umoja na wing yazingatiwe.

Wewe upo kila ukurasa wa uzi huu unaponda Clouds.

Ingekuwa haikukimbizi usingepoteza hata chembe ya brain cells zako (kama unazo) kuiponda.

Super brand Clouds radio iko juu.
 
ruge sijawahi kumkubali ila kitendo cha leo kutoa amri kama boss inabidi nijifikirie mara mbili!kanifurahisha.....
 
Sa wewe inakuuma Nin?sipotez mda wangu hata Kidogo tym table yangu iko full mpk kesho,huu ni mda wa makav live,kizur kisifiwe Kibaya tupa Kule atutetei upuuz et kisa kuogopa Watu,woga wako ndo umaskin wako ni Uhuru tu wakuongea kijana tiriririkaaaaaa hakuna hata hatakae kuzuia ukitaka ingia kwenye Nyuz zote wewe.usiogope.hatar Hatar sn mtu kutojiamin
 
Lina na Barnaba walizuiwa kwenda kwa jd, Ruge kakanusha


hata Lina na Barnaba walishakanusha na kusema wameshindwana na Jide Malipo...

Judith Mbibo Wambura Chacha Marwa njia ya muongo ni fupi sana.
unaona sasa ulivyojidhalilisha?
Umebaki macho kap kap kap kap
 
Alisema Jide siyo wa kwanza kutopigwa nyimbo zake. Akataja vituo vyyya. EA na kingine ambavyyyo viliacha kupiga nyimbo za Ray C nadhani na Diamond. Niko tayari kusahihishwa.
 
Sa wewe inakuuma Nin?sipotez mda wangu hata Kidogo tym table yangu iko full mpk kesho,huu ni mda wa makav live,kizur kisifiwe Kibaya tupa Kule atutetei upuuz et kisa kuogopa Watu,woga wako ndo umaskin wako ni Uhuru tu wakuongea kijana tiriririkaaaaaa hakuna hata hatakae kuzuia ukitaka ingia kwenye Nyuz zote wewe.usiogope.hatar Hatar sn mtu kutojiamin
 
Mwisho kasema,
Jd akaze buti, anapigana the wrong war, skylight inamsumbua jd.
Vita yake jd, na bunduki zake azielekeze skylight.


Haya sasa.
Hii ishu ya Jide kutoa waraka wiki iliopita ilipingwa vikali sana na baadhi ya watu hapa JF.
Gang Chomba, Ogah, Putin, Nyani Ngabu na wengine weengi waliitwa wasaliti na vibaraka wa Clouds FM.

Putin alikuja na Data hizihizi ambazo Ruge amezirudia leo.
Muheshimiwa Putin aliweka wazi kuwa JD anatafuta huruma ya watu na kutafuta wafuasi watakaokuwa wanatokwa na mipovu kwenye mitandao ya kijamii ili kumtetea.

Muheshimiwa Putin aliwatahadharisha wana JF kuwa wanatakiwa waelewe hili sakata ni tofauti na huyo Bibi alivyoliripoti.
muheshimiwa Putin alisema kinachomsumbua huyo Bibi ni kitendo cha Bendi ya Sky Light kuchukua baadhi ya wanamuziki kutoka Machozi Band na pia kupewa shavu kwa kutangazwa sana na Redio Clouds.

Leo hii Ruge ameweka wazi ishu ilivyo na sasa tumejuwa mbivu na mbichi.
Kiibibi sasa kirudi kwenye kwaya kilipoanzia.
 
Akadai kama kuchukuliwa wanamuziki wake na Skylight band,ni kawaida kwani hata Banana band imechukuliwa baadhi yya wanamuziki wake. Na akaongeza kama kulalamika kuchukuliwa wanamuziki,Asha Baraka si ndiyyo ilibidi agaregare kwn vumbi kwa malalamiko ya aina hiyo?
 
Kuna kitu kinamsumbua ruge kwa jide,mi sidhan kama jide ni kichaa kias hicho had kuamua kuweka wazi hisia zake hadharan..kuna kitu.na ruge ulivyoamua kupoteza mda wako kumuongelea jide ni wazi unahis kuna kitu ambacho unakihofia kutoka kwake..nilipenda kauli ya jide kuwa anashambuliwa na watu waliomzid umri,uwezo wa kifedha na hat connection..hyo ni kweli ila kila kitu kina mwisho wake tuone kama wew ni mungu mtu
 
Nimependa ujasir wa jide kupambana na ruge bila kujal ni mtu mweny nguvu kweny jamii na uwezo wa kipesa..safi sana jide.usiseme ulimsaidia bali mlisaidiana.
 
Yaan ruge ulivyoama tu kunyanyua mdomo wako kujibu mapigo apo kuna walakin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…