Ruge Mutahaba anaumwa nini?

Mkuuu sio sisi ni matendo aliyoyatenda kwa wenzie.....unadhan MTU kama Sugu au Komando Jide akiwa humu ataandika comment ya kukufanya ww ufurahi?
 
Hivi Ruge hana hela ya kubadili figo , au ni mkakati wa kuficha ugonjwa wake halisi.?
 
NI KWELI MKUU UTASEMAYO,HUYU JAMAA AMEDHOOFU MNO.AMEPOTEZA NURU KABISA.
Kama haumwi basi itakuwa ni laana za wasanii aliowahi kuwanyonya au kuwakandamiza
Kipimo tukitumiacho kupimia ndicho tutakachopimiwa
 
Kwani ni lini vyombo vya habari vikaheshimu hiyo privacy?
Kama ana ngoma, vigo, hepatitis nk semaaa. Hata wao wamesema mengi ya wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…