Ruge Mutahaba apewe udaktari wa kukuza vipaji kabla hajazikwa

Watanzania hongereni kwa tabia kama za Icing Sugar kwenye Cake.
 

Labda kuwa R-Kerly mabinti wetu huko THT.
 
itasaidia nini
 
Hivi Udaktari umekuwa maji ya kuchamba kwamba ukienda chooni utayakuta , tuache unafki Watanzania , hili Jambo si mngelisema wakati yupo hai , mkimpa sasa hivi itamsaidia nini

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?

Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
Kiswahili kigumu sana. Alikuwa anaibua/anakuza vipaji Au alikuwa anatoa platforms kwa wenye vipaji ili waoneshe vipaji vyao?

Ila kumuongelea mtu in past tense inauma. Pole tena kwa wote walioguswa na msiba huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Udaktari umekuwa maji ya kuchamba kwamba ukienda chooni utayakuta , tuache unafki Watanzania , hili Jambo si mngelisema wakati yupo hai , mkimpa sasa hivi itamsaidia nini

Sent from my Iphone using Tapatalk
Na sisi wanywaji walevi nguli tutunikiwe uphd

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtunuku wewe, hujakatazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…