Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

Hamna bado hawajafikia viwango vya Ruge Mfano 360/wamemuondoa Baby kabae alikuwa kiungo muhimu sana huyu kija bado mnoo....kingine njiapanda ni stories za kuumiza tu Mimi sisikilizi tena Ruge was genious njia panda aliichanganya na stori za mabaharia sasa hivi wameweka watu wa magonjwa tu not bad ila hakina mvuto as unajitune duu story ya ugonjwa ugonjwa tu..
Kuna timu iko vizuri kwa utendaji, kazi inaendelea.
 
Mawingu TV Imekuwa Dekio siku hizi.
 
Ngoja tuongeze maombi...
 
Tatizo naweza kusema hapakuwa na mifumo mizuri aliyoachaa pamoja pia kukosekana Kwa watu wenye sifa Kama yeye
 
Sio tu pengo la ruge (rip) pia dunia inahama uko kwenye issue kama radio na tv watu saiv wamebase zaidi kwenye social media na mayoutube radio wasikilizaj wachache sana asa mjini
 
Sasa hivi hapo Mjengoni kilichobaki na wanachokiweza ni Kuambukizana tu ' Dally Kimoko Solo Guitar Viruses ' kutokana na kupenda Kuzungukana, Tamaa na Kujirahisi Kizembezembe tu kwa Wadau na Wadaawa.
 
Kila jumapili zile story za sitosahau dah long tyme RFA ilibamba mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…