Ruge Mutahaba huwezi vita mara zote huambulia patupu

Tamasha hadi jua linawaka!

Kama kashinda hivi!
 
Hahahaaa at least ana uhakika Wa kwenda chooni bila kutumia nguvu nyingi pambana na hali yako achana na Ruge ndio mitihani aliyopewa na Mungu hata wewe una yako halafu ungese wooooote ulioandika hata baiskeli ukute huna Ruge Ruge nenda basi wewe ukapewe hiyo nafasi na kusaga.
 
Vipi Fiesta Hadi asubuhi nani mshindi? ?
 
Watu kama hawa ndo husababisha ajari kutokea Mara kwa Mara kwa laana kama hizo.
 
Ruge naye siyo Wa mchezo , Tatizo huwa anataka kuwanyonya wasanii , Mwangalie Afande Sele alichowahi kumfanyia.
 
Hua anatumia watu wengine kupata sympathy.
Mfano kwenye hili la Fiesta ilibidi a wapige chini wasanii ili mamlaka za juu ziamue.
 
kuna kijiukweli fulani hapo
hapo kwa ruby daaah jamaa kamfanya nandy aimbe kama ruby mpaka sauti
mi sipendi anavyowafanyia wasanii anatengeneza ile kitu ya kufanya kila msanii amuogope na kumsujudu wakati hayo ni mambo ya kizamani
Mi nadhani bado kuna shida kubwa saaana kwenye industry ya mziki.
Hivi clouds huwa anasema kama nani?
Producer,promota ama meneja?
Unataka kuniambia ili msanii asikike ni lazima awe chini ya clouds?
 
Cha kushangaza mwenye mali CMG hana bifu na wana, yeye biz tu, mkielewana/msipoelewana poa, sijuwi kwanini wanaongalia mali wanakuwa wakuda, rostoki na roho mbaya kuliko wenye mali?!
Heeee...kumbe sio Mali yake?[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…