Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 936
- 1,975
Ulitaka ajibu ili bosi wako aje.na mipasho yake tena sasa yeye bashite nayekajibu nini zaidi ya kumbwela mbwelaRuge kakosa cha kujibu naona anambwelambwela
soma uelewewe wewe achakukurupuka tuIiza mawazo wakati unasomaWe ni mtu wa ajabu kama Bashite mwenyewe!
Akina Balile walichunguza issue kwa kuangalia suala la maadili ya vyombo vya habari na ndio maana walikosoa hata ukaribu wa Clouds na Bashite!! Lakini masuala yasiyohusiana na maadili ya vyombo vya habari wakapendekeza polisi ndio wachunguze!!
Halafu from nowhere unaibuka na kudai polisi wachunguze nini na tena hapo hapo unadai akina Balile wangetaka uhalali wangeomba wataalamu wa polisi!!!
Mbona unajikanganya?! Au hujui ulichokuwa unaongea?!
bado tanesco na mengine dialo anafaa kupelekwa polisi kwa kukwepa hata kodi ................serikali hii ilivyo ya ajabu mbowe waliamua hadi kuvunja bilcanaz kwa roho mbaya lakini huyu dialo walaa kisa anawapa airtime loh mnatia aibu
Siuoni huitaji wa Ruge kwa makonda labla utueleze kama uhitaji upi unaousemea?Kwa kifupi Ruge na Makonda wanahitajiana kila mmoja kwa shida zake.
had TBC??angeongelea wapi wakari media zilimsusia?
RC Makonda kwa jinsi alivyopangua tuhuma za yeye kuvamia studio yenu, ni kama vile mlimpakazia kwa Maslahi ya kundi flani.
1-mpaka leo hakuna kesi ya msingi mahakamani, ukizingatia hiyo ni jinai.
2-kushindwa kwenu kutoa clip ya tukio zima la uvamizi kama ni Kweli, kwa kuonyesha ushahidi wa baadhi ya watumishi wenu kupigwa na vitako vya bunduki.
Kama mlitumika kumchafua, ni aibu Sana kwa tasnia ya habari nchini.
Hii inaonyesha baadhi ya vyombo vya habari nchini haviko huru, hutumikia bifu za baadhi ya watu flani kwa kuwaangamiza wasio na hatia.
Mwisho, hata ile habari ya kumhusu yule mama aliezaa na Gwajima bado haijabalance ili itoke?, au mmekula mlungula kama RC Makonda alivyosema?
Fahamuni siku zinavyokwenda mbivu na mbichi zinaanikwa.
Kwa taarifa yenu huu mchezo Ruge atafeli vibaya sana alizoea kucheza na kina Lady JD anadhani anaweza kumsumbua Magufuli amegusa pabaya sana. Operation iliyopo atajuta kujaribu kufanya ujingaImeshukaje, au kwa uelewa wako na uwezo wako wa kufikiria nan confidence imeshuka hapo! yeye alikataa kutoka saiv anasema clouds watoke! mbna mnafkiria kwa kutumia kichwa cha nyuma, anyway what we need ni ukwel
Makonda ndio basii tenaa[emoji2] [emoji2] badala ya kuyapoza anazidi kuyatibua, uhitaji wa makonda kwa Ruge huwezi kuuona leo bila Kipindi kile Mnahangaika na Mti wangu, sijui upupu gani wa kutukana watendaji wa serikali na kamata kamata ya wenyeviti wa Mtaa umuhimu wa Ruge mlikua mnauona na kumnyenyekea mlikua mnamnyenyekea, yaani bahati nzuri Ruge ameshasema hataki hayo tena kwake ni taka taka, sasa nyie mnahangaiika mnamuita tapeli na kila aima ya maijina teh teh teh!Siuoni huitaji wa Ruge kwa makonda labla utueleze kama uhitaji upi unaousemea?
Gwajima kapata size yake huko South Africa anaitwa Prophet Bushiri kamwambia akisikia anafungua domo lake kuhusu yeye hataona siku inayofuata, Gwajima tuli kama maji ya mtungiWanamwogopa gwajima
KWASABABU AKILI HANA NI KAMA VILE ANAVYOWAAMBIA MACHOKORAA WAJISELFIE NAYE HALAFU ANAWAULIZA VIDEO IMEENDA HIYO YA KWANZA HAHAHAH KWELI HUYU BWANA NI MUHARIBIFU WA KODI ZETUNaambiwa STAR TV walipokwenda OFF bado radio zao zilikuwa LIVE....ndipo ikasikika sauti moja ikisema "leo tunamkomesha Ruge"
Kwahiyo interview ya leo ilikuwa na lengo la kumkomoa mtu! Lakini mbona kama Bashite kaenda kujivua nguo mwenyewe!?
Aaaaaaaagh wapi! Eti makonda amshinde rugeKwa taarifa yenu huu mchezo Ruge atafeli vibaya sana alizoea kucheza na kina Lady JD anadhani anaweza kumsumbua Magufuli amegusa pabaya sana. Operation iliyopo atajuta kujaribu kufanya ujinga