Huyu mbwa hatakiwi kujibiwa, shida yake akamate media za Tz zote zimzungumzie yeye ila Mimi anawaambia wasimjibu chochote, jibu liwe kimyaaa hahahahaa lazima arudi kanisani I see safari hii atatambaasioni haja ya daudi bashite kujibiwa na yeyote yule huyu bwana kashapotea katika ramani anatumia uhuni kujirudisha kwenye vyombo vya habari si gwajima wala mutahaba wa kumjibu .................................... hapo ndo atakapolia zaidI
Mjinga hajibiwi, ukimjibu mjinga unapa nafasi ya kujitanua zaidi sasa hakuna nafasi ya Bashite kujitanua Tanzania hii, shwaini akashinde huko huko Madeni Tv na tbccmRuge kakosa cha kujibu naona anambwelambwela
Yaani yote hii ni kupoteza malengo tusitazame star tv asubuhi Makonda akihojiwa.Kwa hili hatudanganyiki. Kila mtu anaingojea hiyo kesho kwa hamu kumuona Makonda live.
Bashite alkuwa anajikanyaga kujibu maswali yaonesha bashite ni kweli alivamia studio na hana vyeti ukweli.dar inaongozwa na ziro dvs
Swissme
Ruge hatacheza na Makonda kwa taarifa yako, subiri utaona tamalizwa kwa ustaarabu kabisa kabla hata ya 2018 DecemberAaaaaaaagh wapi! Eti makonda amshinde ruge
hahahaha vibaraka wa 0 utawaona wengene mnadiriki hata kuvua nguo kumzsifia ndege wafananao huruka pamoja .....0 000000000Ruge hatacheza na Makonda kwa taarifa yako, subiri utaona tamalizwa kwa ustaarabu kabisa kabla hata ya 2018 December
Labda nikuulize...huyo Bashite amejibu maswali muhimu?KWA MARA YA KWANZA
CLOUD 360 WALIKUWA LIVE FACEBOOK, YOUTUBE.
WANANCHI WANAKIU NA MAKONDA ; VIEWER WA MAKONDA ILIKUWA 5 MIL ONLINE.
WATU MKIWAMINYA ; NDO WANAKOMOA .
Pathetic,usituletee ukabila wako hapa.Star Tv wameleta u-kanda na Usukuma.
Yule Doto Bulendu yuko wapi?hajui huyo kapigwa ban?
SIANGALII TENA STAR TV
that is a foolish arguementSungura amchunguze Fisi?
HAHAHAHA UTAJUTRA SINA HASIRA MIE NABOFYA TU HAPA KWA RAHA ZANGU NIWE NA HASIIRA NA KILAZA AAAH WAPI KAZI YAKE NI KUSIMAMIA MKOA HUU PERIODNyumbu punguza hasira wewe kilaza hujui tofauti ya kazi za Mkuu wa mkoa na kazi za Meya, halafu siku nyingine usiandike kwa herufi kubwa wakati unaandika pumba
Ha haaaa haaaa unachekesha kweli! Yaan hata ukiwasikiliza tu unagundua yupo mmoja huyo unayemtetea uwezo wake mdogo sanaRuge hatacheza na Makonda kwa taarifa yako, subiri utaona tamalizwa kwa ustaarabu kabisa kabla hata ya 2018 December
yeah inshort huyu jamaa kwisha habari yake sasa anawachokoa hawa jamaa ili wamtaje kwenye vyombo vyao vya habari Ruge usijibu huu ujinga kabisa please please achaneni na 'kirundu'Natamani wote aliowashutumu na kuwataja wanyamaze kimya wasiongee chochote maana tushaona lengo la ule interview ilikuwa ni kick tu naona kaona ukimya wake afanyikitu bora aanze kuchokonoa
Now aende.kwa harmorapper akampe kick .
Nimemtoa akili hata zile nilizomwachia abaki nazo.KWASABABU AKILI HANA NI KAMA VILE ANAVYOWAAMBIA MACHOKORAA WAJISELFIE NAYE HALAFU ANAWAULIZA VIDEO IMEENDA HIYO YA KWANZA HAHAHAH KWELI HUYU BWANA NI MUHARIBIFU WA KODI ZETU
SAMAHANI HII PRESS YAKE YA LEO INATIJA YOYOTE KWETU?\ WANADAR AMA TAIFA KWA UJUMLA AMA ALIKUWA AMEENDA KUONGELEA MAMBO YA SIYOLIHUSU TAIFA WALA HAYAHUSIANI NA KODI ZETU KUPOTEZWA?
KULIPIA AIRTIME===KODI ZETU
MAFUTA=========KODI ZETU
ASKARI WANAOMLINDA =KODI ZETU
MUDA WA KAZI YEYE ANAFANYA MAJUNGU
ANGEENDA KUONGELEA MAMBO YANAYOHUSU MSTAKABALI WA MATAKATAKA YALIYOJAA KILA KONA DAR
ANGEONGELEA MIUNDOMBINU HASA MIFEREJI TUNAIFANYAJE ILI MVUA ZIKINYESHA KUSIFURIKE............