Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
nimeona aibu sana hivi ana matatizo gani wakuu wote wa mikoa wamngekuwa hawafanyikazi wanajibizana na raia ungekuwa wapi huu ni zaidi ya upuuziNimemtoa akili hata zile nilizomwachia abaki nazo.
Mi naamini hatapewa tena Airtime kwa upuuzi wa leo....Ajifilie mbalinimeona aibu sana hivi ana matatizo gani wakuu wote wa mikoa wamngekuwa hawafanyikazi wanajibizana na raia ungekuwa wapi huu ni zaidi ya upuuzi
Si wangeileta kama ni story ya uchochezi
watampa since wamemuahidi dialo ukatibu mkuuMi naamini hatapewa tena Airtime kwa upuuzi wa leo....Ajifilie mbali
Hilo kalijibu makonda naona wewe ni mmoja wa Wale waliojifungia chooni wakati akiongea kasema waziri yeyote hana mamlaka kisheria kuunda kamati ya kumchunguza mkuu wa mkoa yeyote. Kamati ilitakiwa iundwe Na raisi sio waziri. Ile kamati ya Nape ilikuwa hewa asingeweza kukutana nayo.Nape aliingilia madaraka ya raisiWewe upo nchi gani? Kwa walioko TANZANIA wanaelewa kuwa kuna kamati iliundwa na aliyekuwa waziri wa habari Ndg. Nape Nnauye kuchunguza tukio la uvamizi wa Makonda kwenye ofisi za Clouds Media. Upande wa CLOUDS walihojiwa na ile kamati, chakushangaza siku wanakwenda kuhoji upande wa pili haikuwezekana kwani Ndg. Makonda alitoroka kwa kupitia mlango wa nyuma..
NYONGEZA: Baada ya ripoti ile ilivyotoka tu, ilisababisha aliyekuwa waziri wa habari kufukuzwa kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine..
MAKONDA ALIVAMIA CLOUDS MEDIA.
Huyo jamaa mnae muita Ruge anasura kitapeli tapeli kweliYaani yote hii ni kupoteza malengo tusitazame star tv asubuhi Makonda akihojiwa.Kwa hili hatudanganyiki. Kila mtu anaingojea hiyo kesho kwa hamu kumuona Makonda live.
Mkuu wa mkoa wa dsm katoa maneno ya dharau juu ya akili ya Ruge mkurugenzi wa vipindi clouds media kwamba uwezo wake ni kutunga nyimbo na ngonjera hawezi kuongoza dsm.
Mkuu wa mkoa amesahau sifa alizotaja mheshimiwa Rais za kuwa mkuu wa mkoa ni kujua kusoma na kuandika. Sifa hizo ruge anazo sasa kumwambia hana akili ya kuongoza dsm maana yake hajui kusoma na kuandika.
Brother ruge usiwe mnyonge iga mfano wa baba askofu Gwajma tumia media yako mchane hakushindi kwa lolote hata uwezo wake wa kujibu maswali una walakini wakati wewe unajibu kiufasaha. Mbona Sugu uliwahi kumjibu alipo kusema vibaya bungeni, makonda ni nani mpk useme hutaki majibizano??? Atakuzoe huyo mchane kaka sisi tupo nyuma yako. DSM BILA UNAFIKI INAWEZEKANA
Ukishindana na mjinga wote mtaonekana wajinga.Mkuu wa mkoa wa dsm katoa maneno ya dharau juu ya akili ya Ruge mkurugenzi wa vipindi clouds media kwamba uwezo wake ni kutunga nyimbo na ngonjera hawezi kuongoza dsm.