babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,754
Ungemsikiliza ungepata majibu ya maswali yako. Ameyajibu yoteKwanini Makonda aliwakimbia wandishi wa habari waliotaka kumhoji? Kwanini polisi hawakufatilia hilo tukio? Kwanini Mwakyembe ajaunda tume itakayofatilia hilo tukio?
Makonda hawezi kujisafisha.
Ni kweli mkuu hapa watu watani attack but mwisho wasiku watanzania tunataka ukweli hawa watu watatu wanavitu wanatufichaRuge,Gwajima,Clouds huu ni muda wenu sasahivi na mkijifanya wajanja tutajua nyie ni Wanafiki.
Mkuu umefanya nikashikwa na hasira, kwanini la cheti hazungumzii???.Siku zote anayekuja kumaliza mwisho ndio huwa anachukua point!
Hilo ndio anakubali kulizungumzia ila cheti hataki kugusia
Mnataka kubance story leo wakati Bashite alikimbia tume ilyoundwa.ni sahihi mkuu maana naona kuna vitu vinaongelewa hapa vina ukakasi sana,,najua matusi na kebehi zitakuja ila sasa tunatakiwa kubalance story ...makonda kasema ni vema clouds watupe ushahidi
Sasa watanzania wenzangu hawataki jua hilo wanajua tu kuwa bwana Ruge alisema kavamiwa em watupe basi ukweli wote ingawa ukweli siku zote ni mchunguRuge anajulikana ni mtu wa aina gani chochote anachokifanya lazima kuwe na story behind
hao walishasema ya kwao.. ni kurudia kama unatakaRuge,Gwajima,Clouds huu ni muda wenu sasahivi na mkijifanya wajanja tutajua nyie ni Wanafiki.
Mkuu asafishwi mtu hapa ikizingatiwa hawa wote wawili ni wachafu mvamiaji na mvamiwaji,,,,hatulazimishwi kusema mkuu tunasema pale tunapojisikia kusemaMnataka kubance story leo wakati Bashite alikimbia tume ilyoundwa.
Naona mmerudi mnataka kumsafisha Bashite.
Yeye ndo amefanya sisi tukabaki na upande mmoja, kwann hakutoka mapema au ndo hapangiwi, sasa amejipanga! anyway hizi ni series tu hop mengi bado atujayaona! tutaendelea kushikiwa akil zetu coz tumekubal wenyew! U'll say im politician, bt Y bashte alikataa wito au angefanya press yake akasema ukwel. so unluck to b in t.zmkuu hatetewi makonda wala hatetewi Ruge tunataka ukweli as long as na yy kasema clip ya cctv yote itoke y tusipewe yote tuache kushikiwa akili watanzania it might be kweli alivamia o not but wahusika waprove basi tuache utata
Angetolea ufafanuzi wapi wakati vyombo vya kufafanulia vilikua vimempiga ban!??Naona katumia miezi kutengeneza uongo. Si angetoka immediate na kuongea kilichotokea.