Baada ya yeye kuonyesha dharau kwa watumishi wa serikali. Nakuheshimu unavyomheshimu mwenzako,kama unamdharau usiyemjua hata mimi sintakuheshimu.kweli, ndomana tunajiuliza kwann,! daah tuyaache haya mkuu
Mbona ukweli unajulikana Wakuu! Hata confidence ya Ruge imeshuka sana. Ila ajue siku za mwizi ni arobaini tu!Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...
Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode
My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.
RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?
Bashite kaona siku ya leo isiishe bure kila KUJIDHALILISHA..
Ndio alivyoshauriwa na Le Mutuz aje aongee huo upupu Daudi Mchambuzi.
Tuwe tuna sikiliza kwamakini tuache kusikiliza kwa mihemko. Makobda alisema alikuwa kwenye mkutano na waziri wa tamisemi. Je ulitaka amsikilize afisa wake aliekwenda bila taarifa au Waziri wake??
ushahidi upi na ile CCTV footage imetembea sna na MAria Sarungi kaipin ktk.account ya twitter nenda utaiona.ni sahihi mkuu maana naona kuna vitu vinaongelewa hapa vina ukakasi sana,,najua matusi na kebehi zitakuja ila sasa tunatakiwa kubalance story ...makonda kasema ni vema clouds watupe ushahidi
Kumbe mlikuwa mnamsikiliza na kutazama? Bavicha banaBashite kaona siku ya leo isiishe bure kila KUJIDHALILISHA..
Ndio alivyoshauriwa na Le Mutuz aje aongee huo upupu Daudi Mchambuzi.
Sisi hatujasikiliza hicho kipindi, hembu wewe uliesikiliza tuambie, je amesema hakwenda Clouds usiku ulea au la? kama alikwenda, je alikwenda kufanya nini? na kwanini alikwenda na askari wenye silaha za moto?mkuu hatetewi makonda wala hatetewi Ruge tunataka ukweli as long as na yy kasema clip ya cctv yote itoke y tusipewe yote tuache kushikiwa akili watanzania it might be kweli alivamia o not but wahusika waprove basi tuache utata
Naona katumia miezi kutengeneza uongo. Si angetoka immediate na kuongea kilichotokea.
Hakuna kesi iliyofunguliwa na wahariri wala ruge mwenyewe.Watachunguza nini walalamikaji ni hewa:Akupe CCTV yote wewe ni nani?! Moja ya maazimio ya Jukwaa la Wahariri ilikuwa ni kuwaambia polisi wachunguze kiundani tukio lile!! Sasa kwanini usiwaulize hao polisi ikiwa walichunguza au hapana?!
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...
Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode
My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.
RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?
Imeshukaje, au kwa uelewa wako na uwezo wako wa kufikiria nan confidence imeshuka hapo! yeye alikataa kutoka saiv anasema clouds watoke! mbna mnafkiria kwa kutumia kichwa cha nyuma, anyway what we need ni ukwelMbona ukweli unajulikana Wakuu! Hata confidence ya Ruge imeshuka sana. Ila ajue siku za mwizi ni arobaini tu!
[emoji23][emoji23]Samahani kama nitakua nimekukwaza.
Unahisi kuna msiba wanataka tusiulizie rambirambi au?. Maana mi naogopa hawa watu kama ukimwi.