Ruge na Clouds wanyoosha mikono kwa Rubby

Mkuu we huwajui clouds yani wale wakigombana na msanii wanasitisha kupiga nyimbo zake Kama huamini ngoja uone Kama watapiga nyimbo za TID tena ndo maaana ruby aliwaita mungu mtu
TID bhana habari yake katika Bongo Flava ishakata kitambo, kilichobakia kwake ni kutafuta kick za Hapa na pale and i BET kwamba TID hatotoa ngoma kali tena siku hizi za usoni.
 
umenena vyema kiongozi clouds nadhani ndo rdio inayopiga sana nyimbo za ndani ukilinganisha na radio nyngn
 
nina mashaka na uelewa wa mleta mada juu ya masuala ya mikataba clouds hawawezi vunja mkataba kisa rudy kama ruby alivyovunja mkataba wao na watu kama nyny mnashanglia badala ya kumshauri kabla hajasign aelew anasign nn
 
Eti clouds wamempigia magoti rubby? dah! Clouds hawaweza kumbembeleza mtu asiye na faida kwa media kama clouds! Huyo rubby ni suala la mda tu!

Mulizeni Roma Mkatoliki mulizeni Prof j mulizeni Sugu!

Rubby atakuja kumpigia magoti mwenye Ruge!
 
Clouds nyimbo za rubby wanapiga kama kawaida.siku ya msiba wa sita walipiga nyimbo ya goodnight zaidi ya Mara 5 huyo JD alikataza mwenyewe wasipige nyimbo zake
Hiyo nyimbo wanasema ni ya nandy etii, nilishangaa wakati mimi nilijua ni ya rubby
 
Hili la Clouds kususia kupiga nyimbo za baadhi ya wasanii wetu ni akili mbovu na ni upumba.vu wa hali ya juu ambao inabidi ukemewe mkwa nguvu zote. Itakuwaje kama Watanzania walio wngi wakisusia kuangalia CLOUDS TV kwa upumba.vu wao wanaoufanya ili kuwakomoa wasanii!?

Si ufungue radio yako alafu upige nyimbo za ruby 24hrs.ile biashara haiendeshwi kwa kodi zenu
 
Inaelekea wazee wetu kipindi cha ukoloni walikuwa na mawazo kama yako na ndiyo maana wakafanywa watumwa.
 
Wasanii wengi wa Tz ni villazer/walikimbia shule so wacha wanyooshwe tu!

Ujinga wa wasanii ndo mtaji wa wanjanja wachache waliyopo katika tasnia hiyo ya sanaa.

Nawapa hongera pia wale wasanii wachache wanaojitambua thamani Yao.
 
Clouds nyimbo za rubby wanapiga kama kawaida.siku ya msiba wa sita walipiga nyimbo ya goodnight zaidi ya Mara 5 huyo JD alikataza mwenyewe wasipige nyimbo zake
umeongea ukweli kuwa na bifu na mtu sio kushndwa kupga nyimbo zake ila jide yy alikataa zisipgwe ila ruby wanapga tu
 
kwani clouds wana bifu na ruby?si ruby alijitafutia bifu ili apate kiki ya kimziki,ambayo kimsingi amefeli na kubaki kutumika na efm kuingiza faida kwenye matamasha ya singeli.kuhusu coke studio sioni kama kuna ubaya kwa clouds kupiga nyimbo ya ruby swali la kujiuliza.Je ruby wa na yule ni sawa na wa walewale? na Je kwanini asiende kuomba msaada ea radio inayosikika atleast baadhi ya mikoa na kwenda efm ya dar peke yake?Hapo utagundua kuwa efm inaendeshwa kwa kutafuta kiki ya clouds na hawako smart,ea radio wapo smart kwa kuona kumpromote ruby ni kumuongopea
Subiri anguko la ruby kabla hata mwaka haujaisha..
 
Eti clouds wamempigia magoti rubby? dah! Clouds hawaweza kumbembeleza mtu asiye na faida kwa media kama clouds! Huyo rubby ni suala la mda tu!

Mulizeni Roma Mkatoliki mulizeni Prof j mulizeni Sugu!

Rubby atakuja kumpigia magoti mwenye Ruge!
Mkuu unaongelea Sugu na Prof. J hawa malegendary wa music wa bongo fleva na wabunge au unaongelea wengine wa hapo nyumbani kwenu?
 
Punguza jazba kidogo alfu edit hapo chini, Sugu hakuwahi kuwabembeleza hao mawingu fm
 
Acha ujinga wewe! Unaporuhusiwa kuwa na TV nchini mambo ya kitoto ili kuwakomoa wasanii au yeyote yule hayakujengi kibiashara bali yanakuharibia. Watawasusia wasanii wangapi nchini? Kwanza alikuwa mmoja tu sasa list inaongezeka taratibu. Wanajiharibia kwa upumbav.u wao. Biashara ya TV au biashara yoyote ile haiendeshwi hivyo kwa tabia za kususa susa ili umkomoe A au B.

Si ufungue radio yako alafu upige nyimbo za ruby 24hrs.ile biashara haiendeshwi kwa kodi zenu
 
Mkuu we huwajui clouds yani wale wakigombana na msanii wanasitisha kupiga nyimbo zake Kama huamini ngoja uone Kama watapiga nyimbo za TID tena ndo maaana ruby aliwaita mungu mtu
Kwani TID kawatibua nini Clouds??hawa jamaa ndio wanaouua muziki wetu bongo
 
Historia ya sanaa katika bara lote la Afrika haiwabebi wasanii wake ukilinganisha na bara la Ulaya na Amerika. Nadhani tatizo linaanzia hapo. Artist na artizan ni vitu viwili tofauti. Hata hivyo kwa kuungana wasanii wanaweza kuinuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…