King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ruge atachemka tu usicheze na Sugu!Huu ni ushauri tu ruge(Manager clouds) ni mnafiki sana alikua apigi kabisa nyimbo za LWP,Manzese Crew,Afande Sele lakini sasa ameanza kuzipiga na kutangaza kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,Mtu wa kwanza kutangaza hao wasanii ni sugu kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,Wasanii kuweni makini na Ruge,Sugu kamshika pabaya so anatafuta kila njia avunje muungano wa wasanii wapinga unyonyaji,anawagombanisha na sugu then anakumwaga
Nawasilisha
Ruge atachemka tu usicheze na Sugu!
26 nov ndio jibu nani zaidi na nani yu upande wetu deiwaka na swahiliface..
with no apology ruge ni snitch kawatukana then anawalamba miguu naskia amewapa pesa ndefu ila hao misukule wanamsifu sana sugu coz hawajawahi kulipwa pesa nzuri na ruge ila wamehaidi wakitoka huko wanakuja ustawi. Sasa anapambana na jamii sio sugu tena naona kusaga yupo kimya sijui kasanda
Ruge atachemka tu usicheze na Sugu!
huu ni ushauri tu ruge(manager clouds) ni mnafiki sana alikua apigi kabisa nyimbo za lwp,manzese crew,afande sele lakini sasa ameanza kuzipiga na kutangaza kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,mtu wa kwanza kutangaza hao wasanii ni sugu kwamba watakuwepo kwenye tamasha lake,wasanii kuweni makini na ruge,sugu kamshika pabaya so anatafuta kila njia avunje muungano wa wasanii wapinga unyonyaji,anawagombanisha na sugu then anakumwaga
nawasilisha
the truth is hard to swallow when you're choking on your pride...
Muziki kama siasa. Wadau/mapromota kama wanasiasa. Wasanii kama wapiga kura. Wanasahaulishwa haraka dhuluma na shida zao kwa kofia na kipande cha kanga. Wanashindwa kutumia fursa hii kufanya mapinduzi ili wanufaike kama wenzao wa nchi jirani na za huko mbele. Nafasi hii ikipita watajuta sana kwa usaliti wao. Na nina hakika hata akikosa tena Ubunge, Sugu atatoboa sana katika life. Historia inamshuhudia kama mpiganaji anayeshinda bila Godfather katika lolote analoliamini, kulisimamia na kulipigania.
Siamini kabisa. Afande Sele-mtu poli ambaye hata Ufalme wa Hip Hop katengenezewa na Sugu leo hii kumsaliti! JMo-We Bishoo Tu sasa amekuwa Famous!, Inspector & Karama hawa wote wamesota na kupotezwa kwa udhalimu wa hao Clouds leo wanasaliti harakati!
Nchi hii imejaa vigeugeu kila mahali. CC ya ccm-vigeugeu, NEC-ccm vigeugeu, Wanaharakati (Katiba)-vigeugeu, Wasanii-vigeugeu, Wapinzani-vigeugeu, Wananchi nao-vigeugeu. Na wewe mwana JF-Kigeugeu
Sasa hivi ruge anaandaaa airtime kibao za kumponda sugu,na anaye mtumia ni kala pina wa kikosi cha mizinga,anasema yeye ndio muhasisi wa hip hop.