Kalapina muasisi wa hiphop kuanzia lini? Muasisi wa mziki wa bongo ni kina salehe jabir na Sugu,pina ni maku tu clouds walikuwa hawapigi nyimbo za pina nashangaa wanazipiga hila pina mziki wa sugu hauwezi sugu ana mguu wa kuku akimletea ujinga anamvunja miguu tu