Ruge unageukwa na wafanyakazi wako

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Kitendo cha mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva judith wambura(lady jaydee) kukishutumu kituo cha clouds media group kumkandamiza na kumpoteza kabisa mwanadada huyo kwenye tasnia ya burudani nchini.unajua jide ana ugomvi na mabosi wa clouds hivyo wafanya kazi wengine bado anawasiliana nao vizuri,kila kinachofanyika kule mjengini jide anapata taarifa,hivyo tusipuuze kauli yake.tusubir tuone nini kitajiri...
 
Hivi prof jay nae ana bifu na clauz? Mbona naye hawapig nymbo zake? Halafu mbona prof yupo close sana na anaconda? Au anasapoti harakati za kinega anacönda?
 
wanamgeuka cos wamemchoka nae

team ANACONDA we are happy as far as the information are useful to us
 
Jide usirudi nyuma ni vibaka, na wachumia tumbo ndio watawaunga mkono hawa majangili wa muziki clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…