Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi


Halafu huyu jamaa anayitwa mwakandege si ndo alikuwa mwwnasheria wa iptl na ile miwani yake mikubwa sasa alikuwa nafanya nini hapa muda wote hakusoma alama za nyakati tu kwanzia kipindi hcho anasema iptl ni kampuni halali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Makamanda wamegoma kabisa kukaa meza moja na DPP ili kuyamaliza mambo yao kwa amani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…