kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Serikali ni taasisi kubwa sana, ina macho, masikio na mikono mingi ya kuweza kuona, kusikia na kufahamu jambo kubwa kama wizi wa escrow. Inafahamu kuwa Ruge ametumiwa tu kama bomba la kupitishia hizo hela kwenda kwa wapigaji. Wezi na sababu walizotumia kuzichota hizo pesa lazima serikali inafununu navyo. Kinachoshindikana kuwatia mikoni wezi hawa inawezekana ikiwa ni katiba, matumizi ya hela hizo baada ya kuchotwa au utashi wa kuwakamata.
Mzee Ruge asidhani kuwa ana habari mpya kabisa kwa serikali.
Mzee Ruge asidhani kuwa ana habari mpya kabisa kwa serikali.