Mtakuwa mmefanya jambo la kizalendo! Mtakumbukwa daima!View attachment 2664799
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.
hivi kwani kuna mkataba wa dp world?View attachment 2664799
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.
Wanampinga nani? Na wanafungua hiyo kesi wapi?View attachment 2664799
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.
Yaite "makubaliano" au chochote unachotaka kuyaita wewe; hayo tunayouziwa sasa hivi hatuyakubali.hivi kwani kuna mkataba wa dp world?
Suala hili linazidi kutugawa Watanzania. Je, Rais haoni hatari ya migawanyiko hii katika jamii???Nshalla ataishitaki serikali kwenye mahakama zipi? Majaji wepi? Hawa hawa wanaoongozwa na huyu jaji mkuu aliyeongezewa muda kinyume cha katiba?
Unajua sababu na maana ya nyongeza ya muda wa huyu jaji mkuu mtaafu??
Hajali kwakua ameshatimiza malengo.Suala hili linazidi kutugawa Watanzania. Je, Rais haoni hatari ya migawanyiko hii katika jamii???
Huyu Msigwa anahangaika sana..!! Anasema ikifika muda wa kushirikisha wanunuzi wengine watafanya hivyo, hivi hao wengine nao watasaini nao makubaliano ya ushirikiano?View attachment 2664799