Ruka kichura chura uongeze uume na nguvu za kiume

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
Mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto

Pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuufanya usimame kikamilifu

Zoezi hili ukilifanya mara kwa mara inasaidia kwa kiasi kikubwa kurefusha na kunenepesha uume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha.......................
 
Kichura kinaua sana magoti, piga squats ina himarish office vizuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kuwatesa wenzenu jamani.
 
Tutasikia mengi awamu hii chaajabu wanaotoa dawa za kuongeza maumbile ya kiume wao ndo wanaongoza kwa kuwa na vibamia kweli mganga hajigangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…