Ruksa Kilomoni na wenzako muende tena mahakamani but mkutano uko pale pale

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Nimesikia hawa wasimamizi wa mali za simba wanaenda mahakamani kuzuia mkutano kama walivyofanya tena mwanzo na kushindwa vibaya
Sasa niwaambie tu hawana uwezo wa kusitisha mkutano kwa sababu hakuna sheria yoyote inayowasapoti

Simba nguvu moja

Tukutane tarehe 13 kwenye mkutano wa marekebisho ya katiba
 
Jichanganyeni muone moto wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao wanazuia mkutano kwa pesa ipi waliyonayo ya kuchangia timu.
 
Hivi vizee vina mikwara, team ikifulia vinatoweka kama mzee akilimali
 
Mpira wa sasa ni tofauti na ule wa nyakati zile
 
Hivi vizee vina mikwara, team ikifulia vinatoweka kama mzee akilimali
Akilimali equals Kilomoni..... Kwa waliosoma advanced mathematics kwenye madude ya circuit T ~F.... Kilomoni Fitina chanya Akilimali Mswahili chanya vikigonga... T~T.... Jibu T.... True... Kama utumbo wa BMT sheria za hivi vilabu ni za kigoroko.... Inapaswa kuanza na sheria ya vyama vya michezo isimamie vilabu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…