Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

Habari imehusisha mikoa kibao utazani habari nzuri
 
Mbona kama umekurupuka? Tatizo nini hapo?
 
Sikiliza na hiyo voice call ya mwanamke akimlazimisha ex wake akamtombe unasemaje hapo?

#sorry nimetumia neno kali
 
Jamaa anasema alimiacha mke wake kwenye katika kipindi cha hedhi,after 2 months anarudi binti ana ujauzito.Jamaa akakubali ile mimba na mtoto.aseee kweli wanaume tupo tofauti.

Jamaa kama alilogwa na huyo demu,na kosa la kiufundi alilolifanya ni kuacha chuo kwenda kufanya kazi ili amutunze Mwanamke-amemusomesha Mwanamke anaona kumuacha haiwezekani hapo ndipo shida ilipoanzia.
 
Nimetumia saa moja kusikiliza maelezo ya jamaa. Hakika viatu vyake ni vikubwa sana kwangu. Sisemi I could have done better. This depends on alot of issues. Red flags zilikuwa nyingi jamaa akajipa moyo mkuu.
Kuna haja ya wazazi, nduhu na marafiki kutembelea watoto wao wanaoishi pamoja na kufanya follow up. Pia ku socialize kama humu JF kuna maana kubwa. Jamaa angeweka hiyo inshu humu angepata uzoefu wa wengine labda could save a soul.

Nimesikitishwa sanana kifo cha mtu mpambanani wa maisha kama huyu jamaa.

Marafiki hasa wale wa makazini tujuane ikiwezekana tusaidiane. Tatizo la huyu jamaa linaonekana kabisa ni la muda mrefu na possibly watu wa karibu wanafahamu na labda hawamkushauri kinagaubaga huyu jamaa.

Serikali ianzishe utaratibu maalum wa kutoa msaada kwa ndoa zenye matatizo hapa siyo utaratibu huu ambao hauna tija. Yaani wakae chini watafute njia zinazoweza kupunguza sababu za haya matukio.
 
Hebu kwenda huko na sisi tutakut.omba wewe mfyuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena wewe hilo tako jamani kha...doggy style hapo ina noga sanaa...yaani naona nitakojkwa ubungo huku nacheki vibration ya tako
 
Bahati mbaya hajui kuwa jamaa na mke wake walisoma pamoja diploma na degree ya uandisi ujezi yaan civil engineering.
 
Mwanaume miaka 32 na mke miaka 34.................hii nayo imekaaje ndugu wadau
 
Kwahiyo mtoto ni wa Deus?
 
Nimesikiliza hizi clip zote...jamaa inaonekana mpole ila kidogo sijui mshamba wa mapenzi[emoji848]

Hana hata mchepuko masikini wa kumliwaza kang'ang'ana na Lucy wake!

Kiufupi na Lucy mshamba tu afu kahaba kubuhu
 
Nimesikiliza hizi clip zote...jamaa inaonekana mpole ila kidogo sijui mshamba wa mapenzi[emoji848]

Hana hata mchepuko masikini wa kumliwaza kang'ang'ana na Lucy wake!

Kiufupi na Lucy mshamba tu afu kahaba kubuhu



Lakini vyovyote vile hakustahili kuuwawa.

Bora angemuacha tu maana kumuacha mtu nako ni adhabu kubwa sana na ya kutosha tu.

Halafu kusikiliza upande mmoja na kufanya hukumu naona kama si Sawa.

Pengine naye angepewa nafasi ya kujieleza labda angeweza kueleweka na jamii.
 
Jamaa alikua zaidi ya Humble, dah hustle zake zote za huku mara kule ziimekuja kuzima kizembe sana, R.I.P
 
Nimesikiliza hizi clip zote...jamaa inaonekana mpole ila kidogo sijui mshamba wa mapenzi[emoji848]

Hana hata mchepuko masikini wa kumliwaza kang'ang'ana na Lucy wake!

Kiufupi na Lucy mshamba tu afu kahaba kubuhu
Naomba nitumie hizo clip PM plz..
 
Mkuu mbona hizo audio nikipakua nakuta kitu kingine kabisa natamani nisikie alichosema mwl. Ni pekee ndo napata changamoto hiyo ama?
Nenda kwenye notification ambapo imekuonyesha kuwa umezidownload utazipata utazisikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…