#COVID19 Rukwa: Hakuna chanjo mpaka atakaponzindua RC kesho

#COVID19 Rukwa: Hakuna chanjo mpaka atakaponzindua RC kesho

Montserrat

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
10,938
Reaction score
14,745
Chanjo ya Covid-19 iliyokuwa ianze leo, imeahirishwa mpaka atakapochanjwa kwanza Mkuu wa Mkoa Rukwa na kuzindua zoezi hilo hapo kesho. Huu ni upumbavu mwingine katika awamu hii.

Gonjwa linaua watu dawa ipo lakini haiwezi kutolewa kabla ya mtu fulani hajachanjwa!! madness. Kuna ndugu yangu yupo Sumbawanga ameenda government hospital nakuambiwa hivyo.

We still have a long way to go. God bless this Country. Save our leaders from having idiotic minds.
 
Wamejipea u Mungu mtu kwamba wao ni bora kuliko binadamu wengine
 
Nasikia walengwa waliokuwa wamefanya booking ya leo wamecharuka kwelikweli. Bado tuna safari ndefu sana. Chanjo ingeendelea halafu wao waka-formalize upumbavu (sic) wao kesho. By the Samia alishazindua, that is enough. Why uzinduzi Mikoani /wilayani?

Remember people are dying.
 
Wagonjwa wa:

1. KISUKARI
2. PRESHA
3. MOYO
4. SARATANI
5. UKIMWI

Wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom