Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kuwaua ni sulihishoSi suluhisho la kudumu!
Ulitaka wamtafune Nani ili uone ni suluhusisho la kudumu?Si suluhisho la kudumu!
Mbwa yoyote anaeasi suluhisho lake ni kumuua.Si suluhisho la kudumu!
Mbwa tuwachie matajir t sas unakuta maskini kama me nae anafuga mbwa ambapo kula yao tu kuwapatia ni mtihani 😃Huo mji una mbwa sana aisee, nina jirani ana yale maumbwa makubwa, juzi banda limeachwa wazi wakatoka wacha wafukuze watu mtaani bahati nzuri hawakujeruhi mtu.
Mbwa wanashinda jalaani kula pampas.Mbwa tuwachie matajir t sas unakuta maskini kama me nae anafuga mbwa ambapo kula yao tu kuwapatia ni mtihani 😃