Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ambaye hayupo ni mmoja tu , Magufuli , wengine wote wapoHivi huo utamaduni wa kishenzi bado unaendelezwa ndani ya taifa hili.?
Matajiri , unawalinganisha na hata wale WA barabarani🏃🏃Polisi ni jamii ya wafanyakazi masikini sana nchi Tanzania
Usiwafananishe wadangaji na takataka zile za ccm mkuu. Wale wanahela sana huwezi linganisha hata kwa mbali na policcmMatajiri , unawalinganisha na hata wake WA barabarani[emoji125][emoji125]
[emoji871]Mimi namuamini Askofu Mwamposa kuliko huyu wa kwenu Chadema [emoji16]Hata askofu Desmond Tutu wa Afrika kusini aliweza kuliokoa au kuliandalia taifa lao kwa kupigania kupata katiba mpya.
Watanzania tutakukumbuka sana askofu Mwamakula kwa juhudi zako hizi na ipo siku isiyo mbali utavishwa taji la heshima.
Yasikilize maneno yenye kujenga nchi kutoka kwa askofu Mwamakula leo hii tukiwa huku Sumbawanga.View attachment 2121102
Permanent chairman haina madhara kwa watzCHADEMA pambanieni katiba ya chama ili kumuondoa life chairman ndo mje kwa wananchi kuwaeleza hizo ngonjera zenu za katiba mpya huenda wakawaelewa japo kidogo
Mwamakula mpuuzi tu! BishaHivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula...
Basi vumilia tu[emoji871]Mimi namuamini Askofu Mwamposa kuliko huyu wa kwenu Chadema [emoji16]
Yule mwingine aliyewadanganyeni kuwa anaiua cdm sasa kafa yeyePermanent chairman haina madhara kwa watz
Mkuu umetisha kwa kumbukumbuMwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.