M Mtanzania JF-Expert Member Joined May 4, 2006 Posts 4,816 Reaction score 684 May 31, 2009 #41 Looh! Kwa bilioni 1.7 hata mimi nitajipendekeza tu kwi kwi kwi!!! Tunakoenda mkono mtupu utakuwa haulambwi na kila mtu atajali ya kwao tu. Tunaweza tuspende lakini ndipo tulipofikia sasa, kuwa ombaomba; kujipendekeza ili tufaidike!
Looh! Kwa bilioni 1.7 hata mimi nitajipendekeza tu kwi kwi kwi!!! Tunakoenda mkono mtupu utakuwa haulambwi na kila mtu atajali ya kwao tu. Tunaweza tuspende lakini ndipo tulipofikia sasa, kuwa ombaomba; kujipendekeza ili tufaidike!