Rule number one: When Playing Games with children let them win

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
This is what actually Kaizer Chiefs have just done to Simba.

Wame waachia Simba washinde pambano (battle) whilst wao Kaizer Chief wameshinda Vita (war)

However hongereni sana watani kwa ushindi.

Even though ur victory was asymmetrical but mmekufa kiume.

# kifo hakina jinsia.
 
Kaizer Chiefs is overrated. Ngoja tuone watafika wapi. Nafasi waliyopo kwenye ligi yao pamoja na performamnce yake kwenye group stage sio mambo ya bahati mbaya. Muda ni mwalimu.
 
Inawauma kwa sbb hamkutegemea kwamba tutawanyuka 3 bila na wametoka kapa kwa Mkapa. Mlitamani tunyukwe tena hahaaha.Kunyweni panadol kupunguza maumivu maana nyie leo mna maumivu.
 
Ila John Boko ni hatari Sana. Sikuwahi kumkubali huyu jamaa ila Jana nimeona ubora wake.

Lile shuti alilopiga likagonga mwamba lilikuwa hatari Sana lile
 
Halafu kwa mpira ule unakuta bado shabiki asiyejua mpira bado anaibeza Simba
 
Ila John Boko ni hatari Sana. Sikuwahi kumkubali huyu jamaa ila Jana nimeona ubora wake.

Lile shuti alilopiga likagonga mwamba lilikuwa hatari Sana lile
Taratibu mtasema yote, bado kidogo mkubali Simba babalao, hamna chakuwafanya sasa mmeona bora muichukie tu kwa wivu.
 
Hongera mtani kwa kushinda 3 kwa 4
 
Timu zote zilikua zinaombea zipangwe na Simba kwenye hatua ya robo fainali kwakua ndio timu iliyo onekana underdog ( daraja ) na ndio maana fixture ilipo onyesha Kaizer Kapangwa na Simba. Kaizer wali lipuka kwa Shangwe.
 
Buhahahahahahahahha
 
Umeandika nini hiki? Simba aliempiga bingwa mtetezi akaongoza kundi mbele ya bingwa mtetezi, endeleeni kujiliwaza tu najua ndio kazi mnayoipenda sana.
 
Back
Top Bottom