Rules To Help You Cheat On Your Spouse....

 
Taasisi ya ndoa inapaswa kulindwa.

MasterMind - Kwa nini unafundisha mbinu za kuihujumu, tena kwa umakini mkubwa?
 
maumivu ya kichwa huanza pole pole.......

Pole sana mkuu...! But the truth is that "we are not marring our lovers, but spouses instead". Normally cheating is an outcome of infidelities. So, the only way to combat cheating is by completely deleting the files of infidelities in your brains...! This is by telling your spouse each and every thing like your pasts, feelings towards others, your wishes, plans etc. Now, can you? Just start, and you will see....!
 


No simple answer/solution.

Ndiyo, unaweza kumwambia kila kitu. Ila utakuwa tayari na kuhimili akianza kukwambia? Binafsi sitaki hata kusikia kitu kuhusu nani anamtamani au wanatamaniana. Ngoja na iwe siri yao ili mradi mimi nadabaki salama bila ugonjwa wa moyo.
 
haya mambo ni mazuri kuyasoma na kuyajadili kama hivi lkn ukifumaniwa ni balaa tupu
 
Cheating ni umalaya...nothing good will come out it....
 
Cheating ni umalaya...nothing good will come out it....

Hilo halina ubishi. Lakini watu wanafanya kila siku iendayo kwa Mungu. Ni sehemu ya maisha yetu. Sina hakika kama kuna jambo tunaweza kufanya. Hata hivyo, it begins and ends with you!
 

Hapo ndio pagumu mkuu...! Kabla ya yote unapaswa kuhakikisha una kifua cha kuhimili hayo, vinginevyo utaishia kujilaumu...!
 
Hilo halina ubishi. Lakini watu wanafanya kila siku iendayo kwa Mungu. Ni sehemu ya maisha yetu. Sina hakika kama kuna jambo tunaweza kufanya. Hata hivyo, it begins and ends with you!
well I agree with you bro...actually there is something we can do about it.... like educating ppl for example; PPL need to be aware that cheating is wrong and it is not okay; also we should teach our kids values and self respects...and teach them on how to set boundaries... if I cheat and believe that it is alright to cheat then my kids are gonna cheat too and their kids will do the same... can you imagine what kind of life will it be? and Imagine otherwise a peaceful life where everyone is faithful and respect his/her partner...
peace be upon you bro
 

Unaongelea elimu ipi? Watu tayari wanajua kuwa cheating is wrong na ndiyo maana hawafanyi kwenye kadamnasi! Sina hakika kwa kupreach (education) kama itasaidia kitu.

and Imagine otherwise a peaceful life where everyone is faithful and respect his/her partner...
peace be upon you bro

That's too hypothetical. Take it from me,... it doesn't exist.
 

Hi Njeri... Wewe ni wa Machakos, au Kisii? Au Maralal?, au Ugenya?, au kajiado?, au Kisauni?, au Poket?, au Loitoktok? au Emali? au Wapi? Lakini we sio wa Mathare...

Mambo...
 
Unaongelea elimu ipi? Watu tayari wanajua kuwa cheating is wrong na ndiyo maana hawafanyi kwenye kadamnasi! Sina hakika kwa kupreach (education) kama itasaidia kitu.



.
Elimu ya kidini ndio itakayo save ppl lives sio ya ki dunia!!! why do u think ppl take this issue very lightly although it is a very big issue!!! If ppl had proper knowledge of their religions...believe me life could have been much easier and pleasant!!! but unfortunately nobody puts any effort to find this knowledge... kwa hiyo kama ulivyosema hawafanyi openly although wanajua ni wrong... they might be hiding from ppl? isn't it ridiculous? kwa sababu GOD can see them no matter where they are ... and if you are a believer you will understand kila kilicho katazwa na mungu is for our own Good!!! GOD sent Books and messengers (prophets) to invite ppl to the right and more pleasant world and he is always there to guide us: why are we still ignorant and rejecting?

That's too hypothetical. Take it from me,... it doesn't exist
oow u r right may be I am in an optimistic mood today!!! but I still believe that there are few extraordinary ppl out there who dont cheat and have never cheated !!!
 
9. If you are going to be in a public place always go with a wingman
(or merchie) who is not married
.

Nimeipenda sana hii rule namba tisa! Nimeishatumika kama Wingman (Merchie) best yangu alinisingizia nikakubali kumwokoa na mazabe yake
 
Infidelity ni kazi kubwa na mateso makubwa kwa kweli.Unjitesa bila kujua mwenyewe...
 

Come on PLAYER!!!!!!!, Men will Always be MEN!!!!!
 
Infidelity ni kazi kubwa na mateso makubwa kwa kweli.Unjitesa bila kujua mwenyewe...


Hapo kwenye red ndipo uliponifurahisha ZD na thanks nimekupa na kwa kuongezea na mimi nawaambia hao wanaocheat waendelee tu ila siku ikifika wamechoka kufanya siri WAFUMANIWE TU waone utamu wake.Maana hakuna kitu tamu kama fumanizi.Hiyo ni kwa wote mfumaniaji,mfumaniwa na hata watazamaji ni raha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…