Rules to live by

Kazi kweli kweli, na rule namba 10 wakikutana inakuwa vipi?
 
nimesoma kwa bidiii nimefika no 10 nimekacrika.
 
Nmeipenda ya kumi, inakumbusha Irish Toast in a Pub:

Here's to our wives and girlfriends:
May they never meet!
 
Zina katisha tamaa kama wanaume mnazifuata kama zilivyo kwakweli mtatumaliza, tutapataje kupona na gonjwa hili jamani?
 
Mpwa habari za South! Nilikuona uko na totoz na pembeni unapuliza vuvuzela

Safi mpwa ila nimekatisha baada ya kuona tunapata aibu hapa mashavu yanauma kwa sababu ya kupuliza vuvuzela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…