Ruling Kuhusu Electronic Evidence (Video Conference)!!

Ruling Kuhusu Electronic Evidence (Video Conference)!!

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,972
Wakuu WanaJukwaa,
Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake aibandike hapa tafadhali!
Natanguliza shukrani!
 
naona lened bros & sisters bado kupita mitaa hii!
 
Mmmmh, siku hizi Jukwaa halina watu wenye msaada?
 
Back
Top Bottom