Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Jan 21, 2012 #1 Wakuu WanaJukwaa, Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake aibandike hapa tafadhali! Natanguliza shukrani!
Wakuu WanaJukwaa, Naomba mtu mwenye Ruling ya Electronic (Video Conference) Evidence iliyotolewa wakati wa Kesi ya Prof Ricky Costa Mahalu kabla ya Shahidi toka Italia kuja kutoa ushahidi wake aibandike hapa tafadhali! Natanguliza shukrani!
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Jan 22, 2012 Thread starter #2 naona lened bros & sisters bado kupita mitaa hii!
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Jan 26, 2012 Thread starter #3 Mmmmh, siku hizi Jukwaa halina watu wenye msaada?