Rumishael shoo umezidi, rummy255

hivi hizo akili matope?
mmmhhh!!kuzaa si kupata haki ya mungu
 
Reactions: amu

mwanaume gani ataendelea nae mshenzi huyoo
na kamfanyia kusudii
usipojipenda mwenyewe na kujijali nobody can
kutegemea mada mjini nyapu zenyewe siku hizi zipo mpaka za buree pumbavu zaooo
na bado watarekodiwa hadi wanavyoliwa tigo
 
Hivi staa wa mtaani kwenu ndo umlete huku JF!
Bongo INA uhaba wa mastaa *****
 
Hivi staa wa mtaani kwenu ndo umlete huku JF!
Bongo INA uhaba wa mastaa *****

Though huyu jamaa namnyaka lakini hastahili kuanzishiwa uzi. .huyu mjinga ana laana anawatatua sana marinda watoto wa kiume ingawa naye ana ---- kubwa la kutosha
 
Though huyu jamaa namnyaka lakini hastahili kuanzishiwa uzi. .huyu mjinga ana laana anawatatua sana marinda watoto wa kiume ingawa naye ana ---- kubwa la kutosha

Aisee hiyo ni laana kama ni kweli
 
Jamaa si wanasema kaumia? Sasa hao madada wanaotifuliwa si wanaenda kusambaza kwa wengine?

Muuza sembe huyu, ambaye mzigo wake ndo alidakwa nao Masogange. Zile hela alizopiga nazo picha Masogange ndo zilikuwa za huyu na rafiki yake anaitwa Nasoro Mangunga.
Ova
 
Hajatembea na Masogange, ila yuko na yule mdogo wake Masoganga aliyekamatwa naye na sembe SA, anaitwa Melissa. Rafiki yake Rummy (muuza sembe mwenzie) Nassoro Mangunga ndo anapiga Masogange na ndiye anaishi naye SA.
Ova
 
Mi nilijua huyo rumi ni mtu wa maana kumbe.....! Aisee, vijana wa tanzania.tuna safari ndefu sana..
 
Muuza sembe huyu, ambaye mzigo wake ndo alidakwa nao Masogange. Zile hela alizopiga nazo picha Masogange ndo zilikuwa za huyu na rafiki yake anaitwa Nasoro Mangunga.
Ova

Dawa yake ipo jikoni huyu kenge.
 
Muuza sembe huyu, ambaye mzigo wake ndo alidakwa nao Masogange. Zile hela alizopiga nazo picha Masogange ndo zilikuwa za huyu na rafiki yake anaitwa Nasoro Mangunga.
Ova

km uko bongo zote unazo info za huku
 
Unaona eeeee kichwa maji yule mwenyewe kurikodiwa aliona anapendwaaaa

nashukuru tu stage hiyo haikunikuta na ishanipita
we jitu km hilo na umalaya wote bado ukakubali kuchukuliwa video mume wangu mwenyewe hanifanyii ujinga huo
 
Nasikia kuna mama mmoja yuko nyumba nyeupe ya magogonj anamlinda sana. Alishadakwa na sembe Nairobi lakini akaachiwa.
Ova

Yap nilipata info za kudakwa nai kama miezi kadhaa iliyopita,hata kama ipo siku ataingia kwenye 18 si umeona ya Papaa musofe?
 
Alikuwa anasafiri sana huyu jamaa, mi nilianza kupata info zake SA ambako ndiko kwenye kichaka cha wauza sembe, ila tangu lile sembe lao lidakwe amepunguza sana kusafiri.
Ova

ipo siku kitaeleweka tuu
pesa za sembe naona hawana uchungu nazo full show offf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…