Rumishael shoo umezidi, rummy255

Hivi huyu nae ni bongo movie au? aitwa nani?

Mama huyo in bilionea...akikugonga Anakupa gari uuzie suraa......ila ndo uwe makini na kizazi manake nasikia ana mbegu Kali hazichelewi kukatikiamo ....
 
Mbegu zinatoka vichwa tu mikia inabaki duh...huyu dada ni nani hasa bongo movie au?
 
Huyu bint kayataka mwenyewe na yule demu wake mwengine neyonce licha ya haya yote bado kamweka profile pic tu rummy wake loh shikamoo pesa
 
Kweli shikamoo pesa wadada wanapanga foleni kila Leo, me nawaza tu hivi uzima upo kweli pale mana jamaa ni hatari
 
Huyu bint kayataka mwenyewe na yule demu wake mwengine neyonce licha ya haya yote bado kamweka profile pic tu rummy wake loh shikamoo pesa

wako tayari kudhalilika kisa pesa...., pesa zinazuzua wadada wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…