Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
kwani pique na huyo mascherano si walishakutana alipokuwa anacheza atletico au huko atletico hakufanya ujinga anaofanya chelsea
Rojo ana ubabe gani mkuu.... bora ungenambia watabe kama barton...Walikuwa wanakutana lkn anakuwa mpole Huo uchizi wake alikuwa haufanyi mbele ya hao wawili MASCH & PIQ.. unajua huyu mtu nilishamsoma kitambo..akikutana na wababe hafanyi ushenzi wake, ila akikutana na wapole ndiyo anaanza zake....mtu ka ROJO au OTAMENDI hatoweza kuwafanyia ivo anaujua mziki wao