Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
hata mie namsupport huyu badala ya kupeana raha inakuwa karaha
nenda kwenu mama
lakini jamani hakuna style mbadala za kumsaidia huyu??
Hivi ndio mie nawapenda wazungu kila mshubweko ulikwa kama vile mkonga wa tembo ndio hataki muwe mbali ,nawapendea kwa hilo, Dada zetu wakiona zahamatu karadi wanatowa vijisababu sijuwi nina nini hino leo maratumbo linaniuma akipata upenyu humuoni tena ndio imetoka hiyo, adha tupu.hata ukiomba upeleke helment tu pia inakuwa kishindo na mbinde hapo.na ndio maana sina bahati nao wasichana wetu wa kibongo.
hapo ndio suala la kutest linapokuwa muhimu!Does this mean kutest kabla ya kusema i do ni muhimu ili kuepusha aibu za aina hii?
Does this mean kutest kabla ya kusema i do ni muhimu ili kuepusha aibu za aina hii?
ha ha ha ha ha haGood great sinking.
Mkuu Buchanan i concur with you 100% especially hapo nilipoboldSio kutest jamani, ni kufanya zinaa! Mbona mnapenda kuremba maovu kiasi hicho? Tatizo kubwa la watu ni kutokumshirikisha mwanzilishi wa ndoa kabla ya hiyo ndoa, matokeo yake utajitwalia kiatu cha kubana na hapo ndipo unapomkumbuka Mungu! Isn't it too late to catch a train? Atamkimbia huyo mwenye mguu wa mtoto kisha atampata ambaye jogoo hawiki kabisa! Mungu mwenye huruma, tusamehe maovu yetu, tusije tukaaibika milele!
Mkuu Buchanan i concur with you 100% especially hapo nilipobold
This is the point ambayo wengi ya wanaoenda kwenye ndoa wanaikataa.
Mwenye macho na aone na mwenye akili ashike maneno haya
Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.Sure, wenye ndoa zetu, tulianza kwa kumshirikisha Mungu na tunaendelea na Mungu, sio kuweka suala nyeti la ndoa kwenye mizani ya kibinadamu, halafu mambo yakianza kuharibika unakosa pa kukimbilia! "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote." (Ebr. 13:4).
Yaaaa ni mbaya sana labda haata anaweza kumpasua kizazi.....
hata mie namsupport huyu badala ya kupeana raha inakuwa karaha
nenda kwenu mama
lakini jamani hakuna style mbadala za kumsaidia huyu??
Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.
Mkuu kama unaweza kuniPM kwa kila lililo jema katika kukamilisha mchakato huu utakuwa umenisaidia sana, japo hata kwa kunipa references itakuwa nzuri pia. Be blessed Sir
Senks Mkuu BuchananNashukuru ndugu, nitashukuru kutoa ushuhuda na ushauri! Nikuachie neno hili: "Wanayo amani nyingi waishikao Sheria ya BWANA!"