Mkuu itabidi unipe mikakati na mchakato mzima uliopitia katika kumpata mke ambaye amekuwa tunu ya familia. Mimi kama bachelor hakika nisingeitaji kupata ndoa yenye magomvi kila kukicha na ndio maana lazima mke wangu atoke kwa MUNGU na sio kwa marafiki au ndugu zangu au akili na macho yangu ya nyama.
Mkuu kama unaweza kuniPM kwa kila lililo jema katika kukamilisha mchakato huu utakuwa umenisaidia sana, japo hata kwa kunipa references itakuwa nzuri pia. Be blessed Sir
ni kweli mkuu,hata mm nahitaji kupata mawili matatu katika hili,kwani niko kwenye mchakato huohuo,
amensawa kabisa, mungu mwanzilishi wa ndoa akuwezeshe kukurudishia ubavu wako aliouchukua na kuupa pumzi ya uhai! Ubarikiwe na bwana yesu kristo!
aha aha aha ah kitalolo wape wape hao!kumbe mnayaogopa ? Halafu akiwa na kibamia unaishia kutoka nje .
kuna wakati nilisikia kama rungu ni kubwa saana linaweza likavalishwa pete, wakubwa hayo ni kweli?
Senks Mkuu Buchanan
Neno zuri sana na ujumbe umekuwa delivered sehemu husika kabisa. Namuona hata Next Level anafurahia ujumbe huu mzuri
ha ha ha ha ha ha
Nicheke mie maisha yenyewe haya ya kibongo
Mkuu itabidi tushauriane san kwenye hili. Lakini pia kumtumia watu wenye busara kama Buchanan ni uamuzi mzuri pia. Kumpata mke wa ubavu wako ni kazi nzito sana mkuu ucpimeni kweli mkuu,hata mm nahitaji kupata mawili matatu katika hili,kwani niko kwenye mchakato huohuo,
I do support you AbduNdio maanake.
Unajua mithread kama hii imejaa humu jamvini, yaani saa hivi about 90% ni upupu kwa kwenda mbele wa akina Pape na Mzizipori na wenzi wao. Sasa kwa mtaji huu sidhani kama unaweza ukamrekomend mtu na hishma zake ajiunge JF..never.
Katika ahadi za ndoa ni kwamba mtavumiliana kwa shida na raha hii big rungu haiwezi kuwekwa kwenye kundi hili la shida na raha? Lakini kwenye soko huria mambo ni mengi kinamama wengine watafuta hii kitu hawajapata! Itabidi hapa bwana mkubwa ajipange upya, angekuwa ameonja kabla yote haya yasingewakuta.
usiwashe taa kama unaogopa sana we isikilizie gizani,,,lakini mengine ukiyaona live walahi unasikia haja kubwa na ukichelewa sana inageuka mwarisho hapo hapo live...pole weye
mvumilivu hula mbifu
We una kila sifa ya kuitwa mke bora!!!
kuna jirani yetu mmoja hapo mtaani mambo yalipomzidi alimnadia mume wake, mwiziiiii mwiziiiii, wasamaria wema tulipofika mama katokea mlango wa nyuma sku ya pili kajitangazia kwenye matangazo ya kifo kumbe yupo hai.
bora kabinti alivyorudi kwao kabla njemba haijaleta demeji kwenye intanashinali eapoti.
Does this mean kutest kabla ya kusema i do ni muhimu ili kuepusha aibu za aina hii?
Hakuna kukimbia hapa,si alitaka chai,mbona analalamika anaungua?Mashine isipofanya kazi mnakimbia ikifanya kazi yake mnakimbia,ikiwa ndogo hakiwatoshi kubwa milalamo,tengenezeni zenu sasa,ukiipenda asali penda na nyuki wake!!hata mie namsupport huyu badala ya kupeana raha inakuwa karaha
nenda kwenu mama
lakini jamani hakuna style mbadala za kumsaidia huyu??