Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ubwabwa tutafinyia wapi?Wakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7, 2025.
Kikao hicho kimefanyika ikiwa siku mbili zimepita tangu sekretarieti ya chama hicho kujifungia mkoani Dodoma kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uandaaji wa ilani itakayonadiwa na wagombea wao kwenye kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Ubwabwa tutafinyia wapi?
Wakuu!

Hapo maridadi sana!Hata wakisema tukate watu shingo tunashangilia huku tunang'ata pilipili kunogesha ubwabwa.
Hapo watafanya copy & paste ilani ya cdm. Naona Rungwe ameendelea kukomaa hataki kuwaachia wahamiaji haramu wenye ajenda ya siri. Kimsingi Rungwe alitakiwa akae pembeni, hao wahamiaji haramu waendelee na mipango ya TISS.Wakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7, 2025.
Kikao hicho kimefanyika ikiwa siku mbili zimepita tangu sekretarieti ya chama hicho kujifungia mkoani Dodoma kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uandaaji wa ilani itakayonadiwa na wagombea wao kwenye kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
🤣na mchongo mzima alikuwa amepewa na kina JK, Membe, Mwigulu nk.
Hakuna kukimbia uchaguzi na hakuna wa kuzuia uchaguziWakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7, 2025.
Kikao hicho kimefanyika ikiwa siku mbili zimepita tangu sekretarieti ya chama hicho kujifungia mkoani Dodoma kujadili mambo mbalimbali ikiwemo uandaaji wa ilani itakayonadiwa na wagombea wao kwenye kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
CCM Watawapa Chauma Viti VichacheHapo chadema ni hofu tu
Akili yako kama yule mama mwenye PhD ya kupewa. Ulishaambiwa chadema hawqgombei wewe kutwa kucha chadema kama shoga lililofiwa na bwqnake?Hapo chadema ni hofu tu
Mzee wa ubwabwa haonekani,hili ni kama karibu tena shule vile?