Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Nov 1, 2010 #1 Napenda kufahamu matokeo ya Rungwe na Kyela mtu mwenye taarifa tujulishe jamani.
M masaiti Senior Member Joined Jun 16, 2008 Posts 196 Reaction score 22 Nov 1, 2010 #2 Rungwe Mashariki Prof Mwandosya alipita bila kupingwa, Kyela Dr. Mwakyembe anaongoza kwa zaidi ya 75%. Prof Mwakyusa sina uhakika
Rungwe Mashariki Prof Mwandosya alipita bila kupingwa, Kyela Dr. Mwakyembe anaongoza kwa zaidi ya 75%. Prof Mwakyusa sina uhakika
Bhbm JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 714 Reaction score 210 Nov 1, 2010 #3 Mi nadhani huna sababu ya kujisumbua kwani huko in ajulikana kuwa wabunge ni wa ccm na Rais ni DR. SLAA PHD, tafadhali huo ni mtazamo wangu.
Mi nadhani huna sababu ya kujisumbua kwani huko in ajulikana kuwa wabunge ni wa ccm na Rais ni DR. SLAA PHD, tafadhali huo ni mtazamo wangu.
K kasyabone tall JF-Expert Member Joined Sep 13, 2009 Posts 254 Reaction score 63 Nov 1, 2010 #4 Bhbm said: Mi nadhani huna sababu ya kujisumbua kwani huko in ajulikana kuwa wabunge ni wa ccm na Rais ni DR. SLAA PHD, tafadhali huo ni mtazamo wangu. Click to expand... Hayo ndio majibu.
Bhbm said: Mi nadhani huna sababu ya kujisumbua kwani huko in ajulikana kuwa wabunge ni wa ccm na Rais ni DR. SLAA PHD, tafadhali huo ni mtazamo wangu. Click to expand... Hayo ndio majibu.
N Nampula JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 254 Reaction score 3 Nov 1, 2010 #5 jamani shitambala vp ae?
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Nov 1, 2010 #6 Nampula said: jamani shitambala vp ae? Click to expand... Shitambala nasikia anafanya vizuri but siyo rasmi!
Nampula said: jamani shitambala vp ae? Click to expand... Shitambala nasikia anafanya vizuri but siyo rasmi!