Wakuu hivi hawa CHAUMMA wanaamini kweli watapata kiti hata kimoja?
===
Mwenyekiti wa CHAUMMA wakati wa mkutano wao wa hadhara Juni 4, 2025 ameeleza kuwa wao wameona kutoshiriki uchaguzi haleti maana na hawawezi kususia na kuhusu wenzao waliogoma kushiriki hawawezi kuwalazimisha.