Rungwe Youth Sports center yapewa Shavu Azam fc

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Kituo cha kulea vipaji cha Rungwe youth sports center kilichopo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya kimeingia mkataba na klabu ya @azamfcofficial kwaajili ya kulea Vijana wnye vipaji ambao baadae watakuja kusajiliwa na timu hiyo pamoja na timu zingine hapa nchini na nje ya nchi.

Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi wa kituo hicho ndugu Alex Mwambipile ambaye ni mchezaji wa zamani wa Tukuyu Stars pia amewahi kuifundisha Tukuyu stars,pamoja na viongozi wa Azam fc.
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…