'Rupees' hela ya kale ya Ujerumani

'Rupees' hela ya kale ya Ujerumani

Frekim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
321
Reaction score
55
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wagermany walizifukia chini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire
nimeuliza hivi kwasababu nimepita sehemu nimekuta kundi la vijana wakichimba maandaki eti wanazitafuta hizo rupiier na moja wao alinitonya kuwa ukipata moja inadhamani ya bil3
 
gruman ndo wapi?shule za kata hizi majanga matupu
 
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wageruman walizifukia njini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire
nimeuliza hivi kwasababu nimepita sehemu nimekuta kundi la vijana wakichimba maandaki eti wanazitafuta hizo rupiier na moja wao alinitonya kuwa ukipata moja inadhamani ya bil3

NaTaMAnI sAnA kuONa mWanDiKo wAKo
 
tafuta uzi huu 'rupia...hazina ya mjerumani', ina majibu yote kule jamii intelligence.
 
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wagermany walizifukia chini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire
nimeuliza hivi kwasababu nimepita sehemu nimekuta kundi la vijana wakichimba maandaki eti wanazitafuta
hizo rupiier na moja wao alinitonya kuwa ukipata moja
inadhamani ya bil3

Niambieni zinapelekwa wapi mimi ninazo
 
geruman hahahahahaha bora hata unge andika ujeruma ungeeleweka vema mkuu...
 
hiyo biashara we isikie hivyo hivyo,tuulize sie...
 
Kikombe cha babu Semunge kinatibu magonjwa mangapi
 
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wagermany walizifukia chini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire
nimeuliza hivi kwasababu nimepita sehemu nimekuta kundi la vijana wakichimba maandaki eti wanazitafuta hizo rupiier na moja wao alinitonya kuwa ukipata moja inadhamani ya bil3

Hata 'heller' pia ni sarafu ya kale ya Kijerumani siyo rupia tu.
 
tafuta uzi huu 'rupia...hazina ya mjerumani', ina majibu yote kule jamii intelligence.

Jinsi alivyoandika hata sijui kama ataweza hiyo kazi uliyompa, unaonanje ukamtafutia huo uzi ukambandikia hapa, pia nnamashaka hata kama huu uzi anaweza kujua njia ya kuurudia tena.
 
Back
Top Bottom