Rupia: Hazina ya Mjerumani

Kwahiyo mkuu kwa tz kuna cia base kule mbeya???
 
Mdau itabidi nikutafute
 
Mkuu kuna watu nkuunganishe nao uwasaidie
 
Mkuu naomba tuwasiliane tafadhali kuna watu nikuunganishe nao ili uwaunganishe kwa huyo ndugu yako. Please
 
Mkuu naomba tuwasiliane tafadhali kuna watu nikuunganishe nao ili uwaunganishe kwa huyo ndugu yako. Please
 
Bo
Boss unaongea facts sana but weng hawa trust.
 
Mkuu naomba tuwasiliane tafadhali kuna watu nikuunganishe nao ili uwaunganishe kwa huyo ndugu yako. Please
Mkuu achana na hzo mambo aisee.. Waambie ndugu zako watafute pesa kwa njia nyingine sio rupia.

Nina uzoefu aisee, tumepoteza nyumba na maisha mazuri kisa tu baba etu alijiingiza kwa hyo biashara..

Sasa tunalipa madeni yasiyotuhusu[emoji26] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji29]
 
Pale Iyunga shuleni walikuja jamaa kuchimba ate wanatafuta Rupia
 
Have vtu vipo kwer ila mashart yake c mchezo,mm nina babu yangu yupo chita huko yy analo Jiko la stovu nimeliona na hayo maajabu yake.
 
Afadhali na wewe useme. Mpaka sasa kuna wajinga wanatapeliwa kwenye hizo habari za rupia. Yaani kuna Binadamu anaamini kuna stove ya miujiza au rupia za kumfanya kuwa bilionea!!!
 
Afadhali na wewe useme. Mpaka sasa kuna wajinga wanatapeliwa kwenye hizo habari za rupia. Yaani kuna Binadamu anaamini kuna stove ya miujiza au rupia za kumfanya kuwa bilionea!!!
Aisee hakuna pesa kwa hayo makitu, na mtu anaweza kujiingiza katika uchawi Bila kujijua... Mbaya zaid mtu akiishaingia kwenye hiyo biashara feki hata umshauri Vip hakusikilizi akishakuja kupoteza mali zake zote ndio Akili zinarudi... Inakera sana
 
mkuu naomba unisaidie hizo fomula nami ntest zari
 
Walewale!
 
Afadhali nawewe umetilia shaka kidogo, lakini kiuhalisia ni story zinazotengenezwa na Matapeli. hakuna ukweli wowote katika hizo story. na kama ulivyo eleza mnunuzi huwa hajulikani hata siku moja ila kama unapesa za kutosha wauzaji wapo wengi tu na utapewa matamanio mengi sana ya kupata hizo mali maana zinakuwa ni story za kufikirika tu na watu waliofanikiwa katika mali hizo wanakuwa ni wakufikirika tu.
 
hao wajerumani umeonana nao na kuongea nao mwenyewe, au umehadithiwa tu?
 
Nakubaliana na wewe 100%. Kesho nikipata nafasi nitakuja na yaliyonikuta mimi mwenyewe katika harakati za rupia. Kwa sasa nawaasa msijiingize katioka shughuli hiyo.
wazee wa rupia wana story na mifano mingi ya kuvutia na wanakuwa na watu wao maalum waliowalenga lakini kuna wengine wanapigwa kwa viherehere vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…