Rupia: Hazina ya Mjerumani

Hazina. za wajerumani zipo
Namna ya kuzipata ndio issue. Rupia haina thamani Bali wachawi wanaamini ikifanyiwa madawa ya kichawi inaweza kuleta hela kiajabu.Cha ajabu kila rupia utakayoipata wahitaji wanatoa kasoro.
 
Nani anareactive site za Germany hidden treasury and antique left . Yàani site ambayo ukiweka tu juu chupa ya coca inapasuka au dasani inabadili rangi baada ya dk 10 . Tuwasiliane kwa namba 0785059995. Au mwenye pasi au stove
 
Nani anareactive site za Germany hidden treasury and antique left . Yàani site ambayo ukiweka tu juu chupa ya coca inapasuka au dasani inabadili rangi baada ya dk 10 . Tuwasiliane kwa namba 0785059995. Au mwenye pasi au stove

Ilo stove najua mahali lipo vip lina issue gani mkuu tukalichukue, vp piki piki na ramani ya mjerumani hauitaji maana vipo mahali na hilo stove, ngoja ntafanya mpango wa picha soon.
 
Mkuu huyu LENHNER hata mimi huwa nashindwa jiuliza maana LENHNER Sr alijenga pale Mbalizi karibia na mto kaja LENHNER jr kajenga Ifisi na kumiliki hadi lile bonde lote na sasa ukiwa unaenda Tunduma mbele kule baada ya kutoka kijiji cha Songwe nako kajenga shule karibia na mto Songwe.

Pia nimewahi sikia ana hotel ukifuata lile korongo la Ifisi hospital ila kwa chini zaidi..why kila kitu karibia na makorongo,ziwa au mito?
 
Duh,this is so deep..got me scared!
 
Hawa wametimua kutoka shimoni,sijui wameona nini?dah!

 
Kuna uwezekano ndani ya Ifisi kuna mali nyingi unaweza jiuliza Hotel, Hospital, maonesho ya wanyama vyote vinapatikana ndani ya eneo moja na vipo tangu huyo Lehner kaja mwanae na hivisasa yupo mjukuu naye akiondoka atakuja kitukuu lisemwalo lipo.
 
Maeneo ya mvomero kwenye safu za milima ya Unguu kuna Mzee wangu aliungana na wasaka rupia walipanda kuelekea kileleni kwa muda wa siku 4 walishangaa kumkuta mjeruman kapiga suti na yupo bize kwenye kaofisi kazuri ka vioo huko karibu na kilele!, kuna mganga walikuwa nae akapiga manyanga bila mafanikio wakaamua kupiga jiwe mlangoni walishtukia yule mjerumani yupo miongon mwao! Walitimua mbio walikutana nyumban yule mganga aliuacha mkoba wake hakuufata tena. Kuna wengine walikuta pango lenye mlango finyu wakaona masanduku lakini kwa juu kuna bunduki ikielekea mlangoni halafu kuna nyaya zimeingia kwenye trigger lakini chanzo cha zile nyaya hakionekani na kuna mjeda ndugu yangu aliefika hapo aliàmua kurusha jiwe mlangon anasema bunduki ilitema risasi hadi jiwe lililokuwa kwa mbele liliçhakaa na akagundua kuna mkanda wa risasi usioisha kibaya zaidi ile bunduki inacheza pande zote za mlango! Alikwenda karibu Mara 7 bunduki bado active.
 
Hiyo Fufumaki mwenye kujua soko lake la uhakika anipe. Kuna rafiki yangu mjerumani anayo kule Ujerumani. Naogopa kuileta isije kuwa ni blablah tu
 
mmmh siyo matango pori kweli?
 
"Mzee mwenye upara" ndiye huyo. Kaizari Friedrich Grosherzog aliyetwala tangu 1858 mpaka 1907. Upande wa nyuma unafanana na Fufumaki zingine. Hata nijuxeni wapi nikachote hayo mabilioni. Kuna 10% kwa atakayetoa mwongozo wa soko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Attachments

  • s-l500.jpg
    27.1 KB · Views: 248
Mkuu walichimba kwa siku ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…