Rupia: Hazina ya Mjerumani

Technically linalipuka provided detonation fuse ipo sawa ndiomaana mabomu ya ww2 huko ulaya mpaka leo wakitaka kutegua watahamisha watu
Acha ujanja ujanja mkuu

Yaani naona unaleta story za freemason na makafara yao
 
Inapoishia elimu ya kawaida ndio inaanza elimu usiyoijua
Hakuna elimu hapo mnaongea vitu vya ajabu ajabu sana

Unaleta mashimo ya vyoo yamejengelewa kabisa tofali eti wajerumani wamechukua mali

Kweli watanzania bado sana
 
Hakuna elimu hapo mnaongea vitu vya ajabu ajabu sana

Unaleta mashimo ya vyoo yamejengelewa kabisa tofali eti wajerumani wamechukua mali

Kweli watanzania bado sana
Ukiona hivyo hii hoja tuachie wajinga tuijadili wewe haikuhusu utakuwa umetuzidi upeo wa akili
 
Hawa wanaosema wajerumani waliondolewa na Nyerere ndio rahisi sana kuwadaka

Ukisema tu rupia ni utajiri yumo
 
Tazama hekaya hii, mara 7 bunduki haiishi risasi tu na inapiga kwa mfululizo(Rapid Mode)?
 
Freemason wapo ila utasikia wanatoa makafara sijui wanaabudu shetani nk huo ni uongo
 
Freemason wapo ila utasikia wanatoa makafara sijui wanaabudu shetani nk huo ni uongo
we ndio jamii ya wale wasomi wanaozungukaga na bahasha za kaki mjini kusaka ajira
 
we ndio jamii ya wale wasomi wanaozungukaga na bahasha za kaki mjini kusaka ajira
Unajuaje kama mimi ni msomi?
Mbona unatumia nguvu nyingi watu waamini? Waamini bunduki ina miaka zaidi ya 100 imetegwa na ikifyatuliwa inapiga? Mara 7 na risasi haziishi[emoji28][emoji28][emoji28]

Lakini kwa akili za watanzania utawakamata wengi tu ndio maana wale jamaa wa "Ile pesa tuma kwenye namba hii" hawaishi kwa kuwa tuna jamii ya wajinga wengi
 
Katika maeneo ya nyanda za juu kusini mwa tanganyika walipo weka vitu vyao vya kutosha ni Mbeya,sasa ukisema hakuna hivyo vitu mmmhhh,peleleza vyema utapata majibu sahihi.
 

Nenda you tube kuna jamaa anatoa ushuhuda wa kisa flani hivi cha kishetani shetani na ameongea sana kuhusu hayo mambo ya rupia na Mercury unaweza kumwamini labda.

Mimi kwa nilivyomsikiliza nimeamini kweli hivyo vitu vipo (rupia+mercury) ila sasa kuvipata mzee Baba duuh...sitaki kusema zaidi ila huwezi vitoa chini ya ardhi bila wajerumani waliochiwa hizo ramani na Mababu zao
 
share link ya hiyo video plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…